Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
25 Juni 2011

Soko la filamu Tanzania kutangazwa Tanga

Soko la filamu Tanzania kutangazwa Tanga

TAMASHA kubwa la filamu limapangwa kufanyika jijini Tanga kwa muda wa wiki moja; imeelezwa jijini Dar es Salaam jana.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Sofia Production, kammpuni inayojishugulisha na uchukuaji na utayarishaji wa picha za
video, Mussa Kissoky alisema tamasha hilo litafanyika kwenye viwanja vya Tangamano.

Alisema lengo la tamasha hilo la wazi ni kutangaza soko la filamu la Tanzania kwa jili ya kuongeza ajira kupitia tasnia hiyo.

“Lakini pia wadau mbalimbali watakutanishwa jijini humo ili kubadilishana mawazo na uzoefu kwa wiki nzima wakiwa Tanga,” alisema Kissoky.

Zaidi ya filamu 10 za Kibongo zitaonyeshwa kwenye tamasha hilo litakaloanza Juni 27 ns kumalizika Julai 3 mwaka huu huku zikisindikizwa na burudani ya nguvu kutoka kwa wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya.

Kauli mbiu ya tamasha hilo ni ‘Uzalendo na Amani Tuviweke Mbele’.

Habari na Kulthum Maabad

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.