Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
25 Juni 2011

"FFU" Kupigisha Ligwaride Ujerumani Leo

"FFU" Kupigisha Ligwaride Ujerumani Leo

Bendi ya maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU yenye makao yake nchini ujerumani,inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya jumamosi 26.06.2011 katika onyesho kambambe mjini Heidelberg,ujerumani.

Pia siku ya jumapili 26.06.2011 Kikosi kazi hiko cha FFU wa Ngoma Africa Band, kitaelekeza mashambulizi yake ya mziki katika oynesho lingine "Afrika Tage" mjini Freudenstadt, kusini mwa Ujerumani ambako mshike mshike wa pata shika ya nguo kuchanika ya washabiki na gwaride la mziki "bongo dansi" utakuwapo.

Pia karandinga la FFU wa ngoma africa limeegesha hapa unaweza kuchungulia virungu na vya machozi ya mziki at: http://ngoma-africa.com/index.php?option=com_content&view=article&id=58&Itemid=59

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.