Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
25 Juni 2011

Sister P Kufikishwa Kortini

Sister P Kufikishwa Kortini

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, HAPPY THADFI aka SISTER P (pichani kushoto) amepandishwa jana kizimbani kujibu shtaka la kujeruhi kwa kutumia chupa.

Happy mwenye umri wa miaka 26  mkazi wa mwananyamala kwa kopa alipandishwa jana katika mahakama ya manzo kinondoni.

Mbele ya hakimu HANIFA MWINGIRA , karani wa mahakama shani idi alidai kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo juni 21, mwaka huu, saa tatu usiku maeneo ya mwananyamala.

Shani alidai kuwa msani huyo alimpiga kwa chupa JACKSON TENGA kichwani na kumsababishia majeraha klatika sehemu mbalimbali za mwili wake.

Mshtakiwa alikana shitaka hilo na upande wa mashtaka ulidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado unaendelea.

Habari na Kulthum Maabad

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.