Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
23 Machi 2011

See Records inakuja na Ki Sono

See Records inakuja na Ki Sono

Wasanii 22 wamechaguliwa kuunda timu itakayotengeneza Album inayoitwa "KISONO" au "WHO I'M". Baada ya mchakato wa casting uliodumu kwa miezi miwili na kuwachuja wasanii wengi sana waliojitokeza kuwania nafasi hiyo ya kushiriki katika albamu hiyo kabambe.

See Records iliyopo mjini Napoli inakutana na wasanii wote siku ya Jumamosi tareheĀ 26/03/2011. Siku hiyo pia kutakuwepo na vyombo vya habari, magazeti na radio.

Uongozi wa See Records unapenda kuwatangazia wasanii wa Kitanzania, Kenya, na Uganda kuwa bado wana nafasi ya kushiriki ingawa Casting imefika tamati. Uamuzi huo wa kuwa nafasi wasanii wa east Africa uliamuliwa na management ya See Records.

Albamu ya Ki Sono inashirikisha wasanii wa Hip Hop na RnB kutoka mataifa tofauti kama Italy, Ghana, Nigeria, Tanzania, Senegal, Bulgaria, Cape Verde, Dominica, Usa, na Togo.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.