21 Juni 2011

Hatuhitaji Fiesta Mbeya - Sugu

Hatuhitaji Fiesta Mbeya - Sugu

Mbeya hatuhitaji upuuzi unaoitwa FIESTA, kwahiyo isije na naapa...uamuzi huu ni sehemu ya mapambano yetu dhidi ya maadui hawa wa maendeleo ya sanaa,and we are very serious on this one!!!

HATUHITAJI FIESTA MBEYA,MI NAWAKILISHA TU MATAKWA YA VIJANA WA MBEYA...HASA WA MWANJELWA(SIDO) NDO WAMELILETA HILI KWANGU NA NINA FURAHA KUWA NAO NA KUHAKIKISHA MATAKWA YAO YANAKUWA...
BY ANY MEANS NECESSRY