21 Juni 2011

Kuachana Hisabati - Amini

Kuachana Hisabati - Amini

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya  Amini mwinyimkuu ‘Amini’ ametunga wimbo maalum kwa vijana wenzake kwa kuwasihi waachane na uasharati. Akizungumza na Bongo5, mwanamuziki huyo toka Nyumba ya Vipaji Tanzania THT, alisema wimbo huo ameleeza kwamba mapenzi ni hisabati.

Alisema mtu unapoachana na mwenzako lazima utaenda kwa mwengine, na ukiachana na huyo pia utahama kwa mwigine jambo ambalo ni hatari kwa maisha ya sasa, Kuachana ni Hisabati, yaani kuachana kunakuwa na matatizo mengi sana mpaka watu kuachana ambayo ukitulia vizuri yanaweza kutatulika.

 

Amini alisema wimbo huo anatarajia kuuta mapenzi ni Yaleyale.

Bongo 5