Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
23 Juni 2011

Jide, Mutukudzi Kazi ni Moja Tu

Jide, Mutukudzi Kazi ni Moja Tu

Wapo watu walionewa, hawana kipato lakini wana moyo wa ushindi kila siku, wanaimba huzuni lakini mziki wa huzuni ndiyo furaha yao...Wanajidai na kujivunia vile vile walivyo. Watu hawa hawana kitu lakini hawana shida. They are who they are, na moja wao akaimba kuipokea hali yao.
I am who i am, lord wants me to be who i am...Shangwe yao hawa watu ikoje???

Huu ndio wimbo mpya wa JD na Oliver utakavyokuwa, kaeni mkao wakupata ladha nyingine mpya.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.