Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
27 Juni 2011

Chegge, Temba Wafyatua Mpya

Chegge, Temba Wafyatua Mpya

Wabishi wawili toka maskani za TMK,Chegge Chigunda a.k.a Mtoto wa Mama Saidi  na Amani Temba aka Mhe. Temba  wanaowakilisha kundi zima la  TMK Wanaume Family,wameachia rasmi kwenye radio stations ngoma yao mpya 'Kama ni Gangstar'.

Kama ni Gangstar ni single yao ya 2,baada ya ile ya 'Kinomanoma' na hii  itakua kwenye Project yao ya 2 iitwayo 'Kinomanoma' baada ya ile ya kwanza kama Chegge na Temba nje ya kundi ya kundi la TMK Wanaume Family.!

DHW

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.