Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
28 Juni 2011

Masikini Mariam...

Masikini Mariam...

ALIYEKUWA mshindi wa kwanza katika shindano la  Bongo Star Search 2010 maarufu kama BSS, Mariam Mohamedi hivi sasa hali yake  ya kiuchumi inazidi kuwa mbaya kisi cha kurudia rafiki zake ambao mwanzo aliwakana kwa madai kwamba thamani yake ipo juu.

 

Akiongea mmoja wa rafiki zake alidai kwamba Mshindi huyo ambaye alitwa 30 Milioni kwa sasa hali yake imekuwa ngumu kiasi cha kuuza kila kitu chake cha  thamani kwa bei chee na kubaki kama alivyokuwa mwanzo.

Alisema wakati aliposhinda hilo shindano alikuwa hataki kuongea na rafiki zake ambao mwanzo, ndiyo waliomuunga mkono kwa hali na mali mpaka kufanikiwa kwa kiasi kikubwa, lakini hali ilipoanza kuwa tete, walimuona akija kwa kasi na kutaka kurudisha thamani ya urafiki waliyoipoteza.

Mdau huyo alizidi kusema hivi sasa Mariam, amekuwa akizunguka ovyo ovyo, na kuudhulia kwenye matamasha ya uswahili kwa lengo lakujipatia ridhiki. aidha alidai kwamba hali hiyo ya kimaisha imemfanya ajiunge na kikundi cha sanaa ya maigizo kilichopo huko Uswahilini, ilimradi awe Busy. Mdau alisema kwa sasa hali ya Mariam inatia huruma kwani huwezi amini kama ndiyo yeye alishika 30 milioni Desemba 2010 na na leo kuishi maisha haya kama Digidigi.

Tamasha hilo hivi karibuni linatarajiwa kuanza tena kwa msimu wa mwaka 2011, huku likichukua washiriki ambao walifanya vizuri kwenye matamasha ya BSS yaliyopita, na kuwapa nafasi nyingine ya kujaribu kutwa taji hilo.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.