Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
28 Juni 2011

Fanali Kimwana wa Twanga Yanukia

Fanali Kimwana wa Twanga Yanukia

(Baadhi ya washiriki walioingia kumi bora katika shindano la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011, kutoka kushoto ni Johari Juma, Amanda Cyprian, Rehema Said, Mariam Mwakyoma na Amina Juma.)  Washiriki wa Shindano la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 wameiva na wako tayari kwa ajili ya Fainali za Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 zinazotarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza Ijumaa tarehe 08-07-2011.

Vimwana hao ambao wameongezewa Mwalimu wa kuwafundisha kucheza ili waweze kufanya vizuri katika Fainali za Shindano hilo. Hapo awali walikuwa wakifundishwa na Kassim Mohammed au "Super K" lakini kwa sasa wameongezewa mwalimu atakayesaidiana naye ambaye ni Bakari Kisongo aka "Mandela".

(Baadhi ya washiriki walioingia kumi bora katika shindano la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011, kutoka kushoto ni Hawa Miraji, Salha George, Leila Mshana, Mary Hamis na Edina Amani.)

Washiriki walioingia Kumi Bora kama wanavyoonekana kwenye picha ni pamoja na Leila Mshana, Mary Hamis, Mariam Mwakyoma, Amina Juma, Hawa Miraji, Amanda Cyprian, Rehema Said, Johari Juma, Edina Amani na Salha George.
Mshindi atakayeibuka Mshindi atajinyakulia zawadi ya Duka la Vipodozi lililogharimu kiasi chaa shilingi milioni tano ambalo lishapatikana lipo Kinondoni Studio jirani na kituo cha Daladala.

Habari na Bongo 5

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.