Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
30 Juni 2011

Prof. Jay na Utengenezaji wa "Kama Ipo"

Prof. Jay na Utengenezaji wa "Kama Ipo"

Takribani mwezi mmoja uliopita, Professor Jay(The HeavyWeight MC) aliachia wimbo wake wa kwanza kutoka katika album yake mpya inayotarajiwa kuingia kitaani baadae mwaka huu.

Baada ya hapo,na kama ilivyo ada,kilichokuwa kinafuata ni kutengeneza video ya wimbo huo ambao mpaka hivi sasa wapenzi wengi wa muziki wametokea kuupenda na kuukubali(kwanini usiupende?). You heard it,now you’ll have to see it!

Hizi hapa ni baadhi ya picha kutoka katika sehemu mbalimbali ilipotengenezwa video hii.BC sambamba na EATV na DTV ndivyo vyombo vya habari vilivyopata exclusive access katika location hizo.

Video hiyo ambayo inatarajiwa kutoka ndani ya wiki hizi mbili,inatengenezwa na Visual Lab chini ya usimamizi wa Adam Juma(naomba nimuite Mzee wa Next Level).

Kama ulivyo wimbo wenyewe,video inatarajiwa kuweka bayana jinsi gani maisha yanaweza kupanda na kushuka. Ukiwa huna hivi leo, usikate tamaa. Fanya kazi kwa bidii kwani kesho yaweza kuwa zamu yako ya kupanda.

Na kama leo unazo, basi nenda taratibu ili hata utakaposhuka, isiwe kinoma noma.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.