Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
30 Juni 2011

Salamu za Jaffari kwa Sugu

Salamu za Jaffari kwa Sugu

Mwanamuziki wa kizazi kipya Jaffarai, ametumia ujumbe kwenye uwanja wa Sura ya kitabu maarufu kama FaceBook, ujumbe unaosema hivi........... Jaffarai Jaffarhymes  Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini..

Sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa mby ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata cku 1.. Lete hoja za msingi bungeni km wenzako wakina Zitto cyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!!

1 maoni

  • Maoni Bobito 30 Juni 2011 Bobito

    Bado sitaki kuamini kwamba muziki wa Tanzania umejaa chuki kiasi hiki, kwa kipi hasa kilichomo katika huo muziki?

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.