Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
01 Julai 2011

AY Tayari Kunyuka Video

AY Tayari Kunyuka Video

Anayeaminika mpaka sasa kuwa ndiye msanii pekee wa Bongo aliyeweza kupata mafanikio ya hali ya juu ya muziki kimataifa,namzungumzia Ambwene Yesaya 'AY' tayari yuko ndani ya jiji la Los Angeles ,Californi kwa ajili ya kushoot Video ya wimbo  'Speak with your Body' aliomshirikisha mtoto wa producer nguli wa marekani Master P.

Mtoto huyo Lil Romeo na AY waligonga pini moja mwezi mmoja uliopita na video yao inatarajiwa kushutiwa pande za Holywood muda wowote kuanzia sasa.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.