Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
15 Machi 2011

Nemyagaza aibukia kwenye Uripota

nemyageza

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Hamza Mkwila maarufu kama Nemmygaza, ameamua kurudi kwa njia nyingie ya uandishi baada ya kusota sana katika muziki. Mwanamuziki huyo mwenye histori ndefu katika maisha yake juu ya sanaa ya muziki, anasema alishawahi kutoa nyimbo mbili lAshura na Muziki Unabamba lakini hazikuweza kufanya vizuri kutokana na kukosa kwa mzamini wa kumsaidia katika kuzipa ‘Promo’.

Hamza baada ya kuona maisha ya kimuziki yanamzingua na ndipo akaingia kwenye sanaa ya ‘Masenge’ kukanda viungo ili kuweza kujiweka sawa katika kulivaa gemu la muziki, lakini bado mambo yakamwia magumu.

Kwakuwa mziki ulikuwa ndani ya damu yake, aliamua kusafiri kidogo kwenda Msumbiji iliakajitafutie ridhiki, na ndipo hali bado ikawa tete na hatmaye akarudi tena nchini akiwa na wazo jipya.

Masomo aliyoyasoma yalikuwa ni ya Sayansi, lakini hakuwa na jinsi ya kufanya aliona njia pekee ya kutoka katika haya maisha ni kujiunga na chuo cha Uandishi wa Habari cha Royal College.

Alichukua Fomu na kujiunga, wakati huo akiendelea na mitikasi ya kutafuta mdhamini, ombi lake bado anahitaji mdhamini iliaweze kufanya vitu vy ukweli ambavyo bado anaamini ataweza kuvifanya siku yoyote katika maisha yake ya kimuziki.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.