Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
10 Julai 2011

Machozi Kusherehekea Miaka 6

Machozi Kusherehekea Miaka 6

BENDI ya machozi inayooongozwa na mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jay Dee' au Binti Machozi  inatarajia kufanya Party, kwaajili ya kujipongeza kwa kutimiza miaka sita ya bendi hiyo. Akiongea meneja wa bendi hiyo na mume wa mwanamuziki Lady Jay Dee,  Gadner G Habash amesema Party hiyo watatoa tuzo za pongezi kwa wale wadau wa machozi wa muda mrefu.

Gadner amesema watu hao ambao wamejitolea kwa shida na raha tangu bendi hiyo ilipoanzishwa, na hawajawahi kuwaacha hata siku moja kwa ushauri na misaada midogo midogo kwao ni watu muhimu sana.  Aidha alidai kwamba kwenye Party hiyo, watatandika kapeti jekundu kwaajili ya kuonyesha heshima hiyo, kwakuwa ni watu muhimu sana.  Pia aliongeza kwa kusema  watu mashuhuri watakaribishwa kwenye Party hiyo, ambayo Machozi yenyewe itatoa burudani.

Miongoni mwa wakari wa bendi hiyo, ni Rapper  Mau Santiago, mkari wa Bss Bella, mtaalam wa sauti Sam, mkari wa sauti na  mtalaama wa  RnB Tanzania Stive RnB wakati kiongozi wa mashambulizi hayo yote ni mwanadada Komando Lady Jay Dee na  wengine.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.