12 Julai 2011

Dudubaya Ndani ya Tasnia ya Muvi

Dudubaya Ndani ya Tasnia ya Muvi

Baada ya THE MUSK sasa nimecheza movie inayoitwa THE LEOPARD GHOST akiwa amemshirikisha msanii mwenzake HEMED.

Movie hiyo itatoka soon humo ndani nimecheza kama rafiki wa Hemed pia ni mwanamziki, nimetumia jina la Dudu na Hemed yeye ametumia jina la Tesha.

So wapenzi wa filamu bongo na nje ya bongo kaeni mkao wa kuona kitu kipya machoni mwenu, nawaahidi kutowaangusha kabisa.