Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
12 Julai 2011

Ludacris Ndani ya Msimu wa Dhahabu

Ludacris Ndani ya Msimu wa Dhahabu

Mwanamuziki mahiri wa miondoko ya Hip hop ambaye pia ni muigizaji wa Filamu kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Christopher Brian Bridges aliyezaliwa mnamo Septemba 11, 1977, ambaye pia anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Ludacris, anatarajiwa kushuka nchini Tanzania na kuangusha bonge la shoo kwenye tamasha la miaka kumi ya msimu wa dhahabu unaoendelea na serengeti Fiesta 2011.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.