Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
13 Julai 2011

Riz One Imekamilika - Izzo B

Riz One Imekamilika - Izzo B

Ile video ya track ya msanii Izzo Biznes inayotamba kwa sasa ya 'Riz-One' itaachiwa muda sio mrefu kuanzia sasa.

Kwa mujibu wa Izzo B mwenyewe amefunguka kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema "Siku si nyingi video ya RiZi-OnE itakuwa hewani stay tuned guys!!"

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.