Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
19 Julai 2011

Same Script ndani ya Kitaa

Same Script ndani ya Kitaa

FILAMU ya Same Script imekamilika na ipo tayari kuingia sokoni wakati wowote kuanzia sasa, filamu hii ambayo imewashirikisha baadhi ya Nyota wa Filamu hapa nchini ni kazi ya aina yake kuanzia utunzi wa hadithi yake na waigizaji walioigiza katika filamu hiyo, Hadithi ya Same Script inamhusu kijana mmoja David mpenda Vimwana, hatosheki kila wakati anabadilisha wanawake.

Same Script imeongozwa na Mwanadada Godliver Godian (Sister GG) ambaye anajaribu kuielezea kama ni filamu ya kipekee kwani Same Script ina kisa tofauti na filamu nyingine ni mhusika mmoja tu, ambaye ni David anawachanganya wasichana wengi kwa maneno yale yale kila anapokutana nao, na kujikuta kuwa ndiye kiungo cha wasanii wote walioshiriki katika filamu hii.

“Ni moja kati ya filamu ambazo nazipenda katika kufanya kazi kwangu, katika filamu mimi pia nimeigiza, naweza kusema kuwa tayari nimewahi kuigiza filamu kama Mahabuba na filamu nyingine lakini kwa hii hapana hii ni filamu ambayo nimeifurahia sana katika kuicheza” Anasema GG.

Katika filamu hii wasanii walioshiriki ni Ahmed Olotu (Mzee Chilo), Rose Ndauka, Godliver Godian, David, na wasanii wengine wakali katika tasnia ya filamu hapa nchini.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.