Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
19 Julai 2011

Wasanii Wengi Wanategemea Kipaji Pekee - Sandhu

Wasanii Wengi Wanategemea Kipaji Pekee - Sandhu

MUIGIZAJI wa filamu ambaye pia alikuwa ni mshiriki wa Maisha Plus Steve Sandhu amewashauri wasanii, Waongozaji na Watayarishaji wa filamu kuwa kuna haja ya kujiendeleza kitaaluma zaidi katika masuala ya filamu kuliko kutegemea sana vipaji ambavyo ndiyo sehemu kubwa ya wasanii wengi kwa hapa Tanzania, hali ipo pande zote yaani hata kwa waongozaji na watayarishaji wamekumbwa na tatizo hilo.

“Kabla ya kuingia katika tasnia hii ya filamu nilikuwa nikihofia sana kuwa naingia katika fani ambayo sina taaluma nayo, lakini baada ya kuingia huku nimegundua kuwa Wasanii wengi wanategemea sana Vipaji katika utendaji wa kazi zao, jambo hili linaweza kutuchelewesha katika kupiga hatua kutoka hapa tulipo na kuingia katika soko la Kimataifa, Mimi ninashauri pamoja na Vipaji tunahitaji kujiendeleza zaidi Kitaaluma” Anaongea Steve Sandhu.

Aidha Msanii huyu bado anahisi kuwa hali ya Soko haiku sawa kulingana na mfulilizo wa filamu zinazoingia sokoni kwa kasi bila kuangalia wateja wana uwezo wa kununua filamu hizo kulingana na hali ya maisha ilivyo, pia amedai kuwa anachoamini ni kuwa filamu mpya

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.