Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
20 Julai 2011

Kanumba Kuvuta Jiko

Kanumba Kuvuta Jiko

Si mwingine bali ni yule Muigizaji na Muongozaji wa filamu za kibongo, Steven Kanumba anakaribia  kuanza harakati zake za kuanza maisha ya ndoa  mara tu baada ya kuweka makubaliano ya awali na mkewe mtarajiwa.

Alisema mwanamke anayetaka kumuoa  ni mmoja wa waigizaji wa kike aliowahi kushiriki naye katika moja ya filamu zake.

Alisema hawezi kuanika jina la mtarajiwa wake mapema, ila ni kwamba alishacheza kwenye filamu yake moja iliyotamba sana na wala yeye siyo staa...na wamekubaliana na mwanadada huyo kuanza mchakato wa kuwa mwili mmoja mara baada ya yeye kumaliza masomo yake ya chuo anayoendelea nayo sasa.

Alimalizia kwa kusema kwamba mwezi ujao anatarajia kuiingiza mtaani filamu mpya ya Devii's Kingdom, aliyomshirikisha muigizaji kutoka Nigeria Ramsey Nouah pamoja na aliyewahi kuwa mke wa P-Funcky, Kajala Masanja.

Habari na DHW

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.