Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
25 Julai 2011

Machozi Band Yagonga Aka 86, Jide Agawa Tuzo

Machozi Band Yagonga Aka 86, Jide Agawa Tuzo

BENDI  ya machozi juzi ilikuwa ikisherekea Barthday kwa kutimiza miaka sita tangu kuanzisha kwake mwaka 2005, katika sherehe hiyo iliyokuwa ikiambatana na kukata keki na kutoa tuzo kwa wasanii na wadau wake ilifanyika katika Raustarant yao ya  Nyumbani Loudge.

Kiongozi wa bendi hiyo mwanamuziki  Judith Wambura Mbibo 'Lady Jay dee', pamoja na mumewe Gadner G Habash, wanasema kwa pamoja wanatoa shukurani kwa wapenzi wa bendi hiyo kutokana na  kushirikiana kwa pamoja siku zote.

Judith pia alitoa wasaa na shukrani zake kwa wanamuziki wa bendi hiyo hususani wa kiume, ambao siku zote wamekuwa naye pamoja ni tofauti sana na wasanii wa kike ambao hadi sasa hana hata mmoja baada ya kukaa kwa muda na kuondoka.

Jide pia aliwashukuru wadau wa bendi hiyo ambao wamekuwa nao pamoja tangu kuanzishwa kwa bendi hiyo, ambayo ilianza kama utani na kuhamia sehemu mbalimbali na hatmaye kurudi nyumbani Loudge.

Pia hakuacha kueleza kwamba kufika pale ni kutokana na uvumilivu mkubwa alionyesha , kwani hakuna kazi iliyokosa matatizo.

__________________

Mwanamuziki wa bendi ya Machozi Lady Jay Dee, ametoa tuzo kwa wanamuziki wa bendi hiyo ambao wamejituma kwa namna moja au nyingine kwenye berndi hiyo.

Pia mwanamuziki huyo ametoa tuzo kwa wadau ambao wamekuwa wakiiunga mkono bendi hiyo kwa muda mrefu.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.