Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
26 Julai 2011

Moyo Wangu Video Kitaani

Moyo Wangu Video Kitaani

Nuru ing'aayo kama taa kunako anga za bongo flava,namzungumzia Naseeb Abdul aka Diamond amerelease video ya wimbo wake wa 'Moyo Wangu'.

Wimbo huo ambao ulikuwa ni kazi toka kwa Producer Lamar wa FishCrab,video yake imegongwa Adam Juma wa Visual Lab-Next Level.

Kiukweli nimepata fursa ya kuutazama mzigo mzima,nakiri kusema kazi imesimama ile mbaya kwani script imezingatiwa na story inaendana na ngoma yenyewe.

Big Up.... Diamond aka Msafi Classic...!

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.