Toka maskani ya TipTop Connection DHW inataarifiwa kuwa Rapper Abdul a.k.a Dogo Janja yuko studio akigonga track mpya inayokwenda kwa jina la 'Siri zao'.
Katika track hiyo Dogo Janja amempa shavu mkali toka pande za TMK namzungumzia Chegge Chigunda mtoto wa Mama Saidi.
NADHANI SHIRIKA LA TANESCO SASA LIMEFIKIA UKINGONI, KAMA KUNA MDAU ANAWEZA KUOMBA SERIKALI ITOE KIBALI CHA KILA KIJIJI AU MTAA UJITEGEMEE KTK SWALA ZIMA LA UMEME, AIOMBE MAANA SISI MTAANI KWETU WATU KIBAO WANAWEZA KUFUA UMEME NA TUNAUTUMIA KISIRISIRI. KIUFUPI TU KAMA SER...... IMEFULIA ITANGAZE TUIOMBEE JUA LA KUKAUSHIA AU WADAU MNASEMAJE????
|
|
|