Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
28 Machi 2011

AT Apata Jiko

AT

Kambi ya mabachela ndani ya Tzee Music Industry imezidi kumomonyoka. Baada ya siku chache kupita tangu wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marlaw na Besta kuamua kuaga ukapera sasa mwanamuziki kutoka Zanzibar aliyefanya vizuri na ngoma zake kama “Nipigie” na “Mama Ntilie” nae ameamua kuvuta jiko ndani.

AT amefunga ndoa na mwanadada anayetambulika kwa jina Yana Mohamedy siku ya Ijumaa tarehe 25 nyumbani kwao Zenji.

Habari zinasema bibi harusi ni mpwa wa mwanamuziki kutoka DRC, mzee wa Bakanja Fally Ipupa. Bonge la strategy kibiashara, au sio? Hongera sana AT na mkeo, muwe na maisha mazuri yenye kustawi kila kukicha.

Habari kwa hisani ya Blogu ya Jay Dee

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.