Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
31 Machi 2011

Muzungu Kuibukia kwenye Filamu

muzungu

Si mwingine bali ni yule mwananmuziki wa kutoka bendi ya muziki ya FM Academia Roger Muzungu, ameamua kujiegemeza kwenye sanaa ya uigizaji mara baada ya kuibuka na filamu mpya ya 'Continuous Love'.

Alisema filamu hiyo amecheza na mwigizaji maarufu hapa nchini Yusuph Mlela, ikiwa ni wiki moja sasa tangu iingide sokoni.

Kwani Filamu hiyo inalenga masuala ya mapenzi ikigusa utamu na machungu ya jambo hilo, tunamuona 'Muzungu' anajitolea kumsomesha Ulaya kijana mmoja ambaye baadae anakuja kuzaa na mkewe.

Hiyo inaonyesha kwamba binadamu hana fadhila, mtu uliyejitolea, rafiki yako uliyemgharamia hadi kumpeleka nje ya nchi, leo hii unasikia anatembea na mke wako na kufikia kupata watoto nae.

Kwanii kuingia kwa Muzungu imekuwa ni heshima ya Mwanamke, kwenye filamu ni kama kufuata nyayo ya muimbaji mwenzake wa bendi hiyo ya FM, Patcho Mwamba anayetamba kwenye filamu mbalimbali hapa nchini.

Muzungu amemalizia kwa kusema kwamba huo ni mwanzo tu, na amevutiwa na uigizaji hivyo ataendelea nao huku akiendelea kuitumikia bendi yake kama ilivyo kawaida yake.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.