Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
31 Machi 2011

Jay Dee Amwaga Shukrani

Jay

Sikuweza kufika kwenye tuzo za Kili kwakuwa sikupatiwa mwaliko, niliogopa kuzamia. Nadhani walinisahau......... Tehe tehe tehe. Hata mwakilishi wangu yoyote pia hakuwepo ila Shabiki mmoja wapo alinipokelea na kuniletea Nyumbani Lounge

La muhimu zaidi nashukuru sana Watanzania wote mlionipigia kura, sina cha kuwalipa zaidi ya Asante Nashukuru wote mnaoendelea kuamini kuhusu JayDee Tuko pamoja siku zote.

Nashukuru na waandaji pia... Mbarikiwe wote

1 maoni

  • Maoni nase 04 Aprili 2011 nase

    hongera dada jide kwa kukumbuka umuhm wa mashabk wako

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.