Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
04 Aprili 2011

Mzee Yusuf Kutua na Albamu ya 6

Mzee Yusuf Kutua na Albamu ya 6

Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarab almaarufu kama mzee Yusuph wa alamba alamba anatarajia kutambulisha kwa wapenzi wake Albamu mpya itakayo kwenda kwa jina la WAGOMBANAO NDIO WAPATANAO.

Mbali na uzinduzi huo pia Bendi hiyo itawatambulisha rasmi waimbaji wapya kabisa wenye vipaji vya hali ya juu, mzee yusuph akizungumza na waandishi wa habari hapa jijini Dar es salaam amesema kuwa uzinduzi huo utafanyika APRILI 24 kwenye ukumbi wa Travetine pale Magomeni.

Mzee yusuph aliongeza pia kwa kusema uzinduzi huo utakuwa wa aina yake kwani ALBAMU mpya, Wasani wapya, na kila MUIMBAJI ataimba nyimbo yake mpya.

Mzee yusuph na bendi yake imekuwa akiwapeleka puta wasani wakali wa bendi zengine, pia mfalme huyo wa taarab ya kisasa amekuwa gumzo kwa wapenzi wa muziki huo na staili yake ya kuowa wake zaidi ya 2 hadi tatu ambao hutokea kwenye bendi yake na kuwaacha huku akuwatungia nyimbo za vijembe na hivyo kuifanya bendi yake kila mara kusubiriwa kwa kali mpya.

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.