Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Wahapahapa Blog
Hii Nayo ni Dawa ya Wizi wa Filamu KARIBUNI sana wapenzi wasomaji wa safu hii ya ‘Vunja vunja’ ambayo hukupatia nafasi ya kujua kila kinachoendelea katika tasnia ya filamu ya nchini hapa. Leo katika makala ya leo ningependa kutoa ushauri wa bure kwa wasanii wa Tanzania kuangalia suala la kufungua maduka ya kusambazia kazi zao. Nimeamua kuandika hilo…

Soma Zaidi...
ASET Wameweza, na Wengine Wanaweza AHLAN wasahlan mpenzi msomaji wa safu hii ya Jamvi la Kulonga ikiwa ni Ijumaa nyingine tunapokutana kwa lengo la kuchambua na kujadili hili na lile lililojiri katika anga ya burudani na sanaa kwa ujumla. Leo katika Jamvi hili ningependa kuzungumzia hatua ya Kampuni ya Aset ya jijini Dar es Salaam…

Soma Zaidi...
Luda Atua, Tayari Kuwarusha Fiesta Kesho MWANAMUZIKI mahiri wa miondoko ya Hip hop ambaye pia ni muigizaji wa Filamu kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Christopher Brian Bridges ‘Ludacris’ anatarajiwa kutoa shoo ya aina yake kesho katika kilele cha Tamasha la Serengeti Fiesta 2011, litakalofanyika kwenye Uwanja wa Leaders Club Dar es Salaam. Akizungumza jana…

Soma Zaidi...
Madamee Rita Sikiliza Vile Wadau Tunasema KATIKA taratibu za kusaka vipaji na kuendeleza vipaji vya muziki wa dansi ya kizazi kipya, kupitia Kampuni ya Benchmark Productions, kuna changamoto kadhaa kutokana na uendeshaji wa shindano hilo. Changamoto inayokera taratibu za shindano hilo ni pamoja na utaratibu wa majaji ambao ndio waamuzi wa kumpata mshindi wa shindano hilo.…

Soma Zaidi...
Mwisho wa Wito kwa Wasanii Sauti za Busara Wanamuziki wote wa Kiafrika duniani kote. Huu ni mwisho wa wito kwa wasanii wanaotaka kushiriki katika tamasha la Sauti za Busara 2012. Jopo la uchaguzi litakutana mnamo mwezi wa nane kuchagua wasanii watakaoshiriki katika tamasha la mwakani 2012. Ili maombi yako yaweze kushughulikiwa ni lazima tupokee nakala moja au mbili…

Soma Zaidi...
Irene Uwoya Aitwa Ikulu Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza hivi karibuni alimtumia ujumbe mwigizaji maarufu wa filamu Bongo, Irene Uwoya (pichani) akimtaka aende Ikulu kwake kwa ajili ya mazungumzo, Amani lina habari kamili.Akizungumza na mwandishi wetu Julai 25, mwaka huu, Uwoya alisema Rais Nkurunzinza alimuita baada ya kusikia kuwa yupo nchini kwake na amevuta…

Soma Zaidi...
Mkali wa Bongo Crank 'Kuwakimbiza' BBA Msanii Khalfan Ilunga ambaye anajulikana zaidi kama Cpwaa amefanikiwa kuwa msanii wa kwanza wa kitanzania kupata nafasi ya kupiga shoo katika fainali ya Big Brother Amplified 2011.     Msanii huyo Cpwaa anatarajiwa kupiga shoo katika fainali hizo pamoja na waimbaji wengine maarufu wa kitanzania ambao, nipamoja na Fally Ipupa (DRC-Congo),wizkid na…

Soma Zaidi...
Shilole si wa Kipole kwenye Tifu la Mwaka MSANII nyota katika tasnia ya filamu Zuwena Mohamed aka Shilole ameiambia FC kuwa katika filamu ya Tifu la Mwaka amekamua vilivyo na kuonyesha kiwango cha hali ya juu katika filamu hiyo, Tifu la mwaka ni filamu iliyoandaliwa na Issa Mussa almaarufu kama Cloud 112, filamu hii tayari imemalizika katika kurekodiwa…

Soma Zaidi...
Marlow Kuvuruga Ulaya MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya nchini, na mkali wa staili ya kiduku Marlaw anatarajia kufanya Tour katika nchi za  bara la Ulaya kwa kufanya show katika nchi tano za bara hilo, ambapo ataondoka siku ya jumanne julai 26. Mwanamuziki huyo nchi ambazo anategemea kwenda kufanya show, kwa kuwafundisha staili…

Soma Zaidi...
Dogo Janja, Chege Kunani? Toka maskani ya TipTop Connection DHW inataarifiwa kuwa Rapper Abdul a.k.a Dogo Janja yuko studio akigonga track mpya inayokwenda kwa jina la 'Siri zao'. Katika track hiyo Dogo Janja amempa shavu mkali toka pande za TMK namzungumzia Chegge Chigunda mtoto wa Mama Saidi.

Soma Zaidi...
<< Mwanzo < Iliyopita 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Inayofuata > Mwisho >>

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.