Nuru ing'aayo kama taa kunako anga za bongo flava,namzungumzia Naseeb Abdul aka Diamond amerelease video ya wimbo wake wa 'Moyo Wangu'. Wimbo huo ambao ulikuwa ni kazi toka kwa Producer Lamar wa FishCrab,video yake imegongwa Adam Juma wa Visual Lab-Next Level. Kiukweli nimepata fursa ya kuutazama mzigo mzima,nakiri kusema kazi…
MWANAMUZIKI na Muigizajia mahiri katika tasnia ya filamu Baby Madaha amemaliza kurekodi filamu ya Tifu la Mwaka, ikiongozwa na Gwiji la Filamu na Muongozaji wa filamu Issa Mussa aka (Cloud 112) akiongea na FC Baby ameieleza FC kuwa katika filamu hii amekamua ile mbaya na anaamini kila mtu ambaye atabahatika…
Ile video ya wasanii inayohusiana na sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania ilizinduliwa jana ambapo ilikutanisha waandishi wa habari pamoja na baaadhi ya wasanii walioshiriki kwenye video hiyo. Hii hapa ni taarifa kwa vyombo vya habari; Ndugu zangu habari za mchana, Nachukua fursa hii kuwakaribisha katika uzinduzi wa…
MSANII Muigizaji mahiri wa filamu kutoka Tanzania Hashim Kambi amelalamikia utoaji wa filamu kwa fujo ambao yeye ameuita kama ni utitiri wa Filamu, kuwa ni sehemu ya kifo cha wasanii waigizaji pengine hata wadau wanaohusika na tasnia hii kwa ujumla, akiongea na FC katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, amesema…
BENDI ya machozi juzi ilikuwa ikisherekea Barthday kwa kutimiza miaka sita tangu kuanzisha kwake mwaka 2005, katika sherehe hiyo iliyokuwa ikiambatana na kukata keki na kutoa tuzo kwa wasanii na wadau wake ilifanyika katika Raustarant yao ya Nyumbani Loudge. Kiongozi wa bendi hiyo mwanamuziki Judith Wambura Mbibo 'Lady Jay dee',…
ONYESHO maalum lililoandaliwa na Mkurugenzi wa African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka, la kuchangisha fedha kwa ajili ya kumpatia kiongozi wa Msondo Ngoma, Muhidin Gurumo, aliyelazimika kujistaafisha muziki kutokana na kuumwa, lilifana. Onyesho hilo lililofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa Mango Garden, ulioko Kinondoni jijini Dar es Salaam, lilipokelewa vema…
MWANAMUZIKI nyota kutoka Marekani, ambaye pia ni gwiji wa miondoko ya soul, Chaka Khan, ameahidi kutoa burudani ya aina yake katika hafla ya Club E itakayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam kesho. Chaka Khan, ambaye aliwahi kupata tuzo ijulikanayo kama ‘BET Lifetime Achievement’ mwaka…
AHLAN wasahlan msomaji wa safu ya Busati inayokufikia kila siku kama ya leo kila wiki. Ama baada ya salamu, mimi sijambo na namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuwa na wewe tena siku ya leo. Msomaji wangu leo nimekuja na wazo binafsi, hasa linalohusu masilahi ya wanamuziki wa muziki wa kizazi…
KARIBUNI wapenzi wa safu hii ya vunjavunja inayokupatia nafasi ya kutambua mambo yanayoendelea katika tasnia ya filamu za hapa nyumbani. Mada itakayokuwa mbele yetu nitajaribu kuzungumzia kundi la waigizaji wa filamu au michezo ya uchekeshaji wa hapa nyumbani. Pamoja na kwamba kundi hili limekuwa likidharauliwa na watu wa kada mbalimbali…
MSIMU wa matamasha (Fiesta) ambao umebatizwa jina la Msimu wa Dhahabu umekuwa ukiendelea kutoka mkoa huu hadi mwingine. Msimu huo huwakusanya vijana wengi katika sehemu moja kwa lengo la kubadilishana mawazo huku wakiburudika. Burudani zinazotolewa katika Msimu wa Dhahabu ni pamoja na wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya Bongo…