Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Wahapahapa Blog
Msama Tupo Pamoja, Kanyaga Twende KAMPUNI ya ufilisi na udhamini ya Msama Promotions imeonyesha njia ya kuwasaidia wasanii kwa kuanza kukamata kazi mbalimbali za wasanii katika maeneo tofauti. Hatua ya Msama kuanza msako wa kukamata wezi wa kazi za wasanii imetokana na kukithiri kwa wizi wa kazi ambazo ni jasho la wasanii waliojipanga kimaendeleo kupitia…

Soma Zaidi...
20 Julai 2011

Kanumba Kuvuta Jiko

Kanumba Kuvuta Jiko Si mwingine bali ni yule Muigizaji na Muongozaji wa filamu za kibongo, Steven Kanumba anakaribia  kuanza harakati zake za kuanza maisha ya ndoa  mara tu baada ya kuweka makubaliano ya awali na mkewe mtarajiwa. Alisema mwanamke anayetaka kumuoa  ni mmoja wa waigizaji wa kike aliowahi kushiriki naye katika moja ya…

Soma Zaidi...
Elimu Ndogo Inaua Komedi - Mboto MCHEKESHAJI Mahiri wa Vichekesho Haji Salum almaarufu kama Mboto ameiambia FC kuwa moja kati ya matatizo yanayowakabiri wasanii wa Komedi ni ukosefu wa Elimu ya darasani na Mtaani pia, akielezea kwa undani Msanii anasema kuwa pamoja na kuwa wao ndio wanaohitajika na jamii lakini bado wamekuwa wakionekana kama vile ni…

Soma Zaidi...
Wasanii Wengi Wanategemea Kipaji Pekee - Sandhu MUIGIZAJI wa filamu ambaye pia alikuwa ni mshiriki wa Maisha Plus Steve Sandhu amewashauri wasanii, Waongozaji na Watayarishaji wa filamu kuwa kuna haja ya kujiendeleza kitaaluma zaidi katika masuala ya filamu kuliko kutegemea sana vipaji ambavyo ndiyo sehemu kubwa ya wasanii wengi kwa hapa Tanzania, hali ipo pande zote yaani…

Soma Zaidi...
Mapacha Watatu Bega kwa Bega na Extra Bongo BENDI ya Mapacha Watatu juzi iliungana na Extra Bongo ‘Next Level’ kushambulia kwa shoo ya aina yake iliyofanyika ukumbi wa Zonghwaa Victoria jijini Dar es Salaam. Akizungumza na wapenzi na mashabiki wa burudani katika ukumbi huo, mmoja wa wanamuziki wa Mapacha Watatu, Kalala Junior, alisema wao na Extra Bongo ni…

Soma Zaidi...
Same Script ndani ya Kitaa FILAMU ya Same Script imekamilika na ipo tayari kuingia sokoni wakati wowote kuanzia sasa, filamu hii ambayo imewashirikisha baadhi ya Nyota wa Filamu hapa nchini ni kazi ya aina yake kuanzia utunzi wa hadithi yake na waigizaji walioigiza katika filamu hiyo, Hadithi ya Same Script inamhusu kijana mmoja David mpenda…

Soma Zaidi...
Kazi Zetu Zimeibwa vya Kutosha - Wasanii MARA nyingi kama si mara zote, Tanzania imegubikwa na kelele ya wasanii wa nyanja mbalimbali kwa sababu ya kuibiwa na kudhulumiwa kazi zao. Sanaa ni nyanja tanzu ambayo ikitumika ipasavyo, Tanzania itakuwa zaidi ya nchi zilizoendelea kuliko ilivyo sasa, kelele zimekuwa nyingi badala ya kujipanga na maendeleo yanayotafutwa kila leo.…

Soma Zaidi...
Inspekta, Tundaman Kinomanoma Mbeya Mastaa wa Bongo Fleva, Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’ (pichani) na Khaled Ramadhan ‘Tundaman’ nusu watoane roho, Risasi Jumamosi linashuka nayo.Tukio hilo lililoshuhudiwa na paparazi wetu lilijiri ndani ya Hoteli ya Mount Stone jijini  Mbeya ambapo jamaa hao walikuwa pande hizo kwa ajili ya Tamasha la Fiesta mwishoni mwa wiki iliyopita.Katika…

Soma Zaidi...
Waigizaji Kujiendeleza ndo Mpango Mzima KARIBUNI wapenzi wa safu hii ya Vunja vunja ambayo hukupatia fursa ya kutambua maendeleo ya filamu za hapa nyumbani ikiwa ni pamoja na kuchambua mambo ambayo hayapendezi watazamaji nia ikiwa ni kuwezesha tasnia hii isonge mbele. Leo katika vunja vunja tutakuwa tukiwavunja waandaaji na waigizaji ambao wamejikuta wakivimba vichwa baada…

Soma Zaidi...
Baada ya Kiba Sasa ni Mwasiti, Barnaba na Usher Raymond BAADHI ya wasanii nyota kutoka kituo cha Tanzania House of Talents (THT), wamealikwa na msanii nyota nchini Marekani, Usher Raymond, kupitia taasisi yake ya New Look Foundation iliyoko jijini Atlanta. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam jana, ziliwataja wasanii hao kuwa ni Mwasiti Almas, Amin Mwinimkuu, Barnaba,…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.