Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Wahapahapa Blog
Daz Baba MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Daz Baba jana ameingiza rasmi sokoni albamu yake ya pili inayokwenda kwa jina la ‘Dunia ya leo’. Akizungumza mwishoni mwa wiki, msanii huyo alisema, albamu hiyo yenye nyimbo 10, amewashirikisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Alizitaja nyimbo zilizomo katika albamu…

Soma Zaidi...
nemyageza Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Hamza Mkwila maarufu kama Nemmygaza, ameamua kurudi kwa njia nyingie ya uandishi baada ya kusota sana katika muziki. Mwanamuziki huyo mwenye histori ndefu katika maisha yake juu ya sanaa ya muziki, anasema alishawahi kutoa nyimbo mbili lAshura na Muziki Unabamba lakini hazikuweza kufanya vizuri kutokana…

Soma Zaidi...
Diamond Tanzania MSANII wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ Nassib Abdul ‘Diamond’, juzi alisababisha mtafaruku baada ya mashabiki kuacha kufuatilia Tuzo za Injili na kubaki wakimshangilia kwa kupiga kelele za shangwe. Diamond aliingia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee zilipokuwa zikiendelea shughuli za utoaji tuzo hizo majira ya saa 10 jioni, huku…

Soma Zaidi...
Witness KARIBU mpenzi msomaji wa Jamvi la Kulonga ikiwa ni Ijumaa nyingine tunakutana Jamvini katika kuchambua na kujadili masuala mbalimbali ya burudani na sanaa. Jamvi letu la leo linapenda kuviangalia vyombo vya habari namna vinavyochangia katika kutokomeza na kudidimiza muziki wa Tanzania katika sura mbili likiunga mkono kauli ya mwanadada wa…

Soma Zaidi...
Bab'Kubwa KUANZIA mwaka 1997 kurudi nyuma, mipasho haikuwa na thamani kubwa kama ilivyo hivi sasa kutokana na kasumba kuwa, muziki huo umekaa kike zaidi. Wanaume wote waliokuwa wakiushabikia muziki huo walikuwa wakipewa majina yasiyofaa, haya na yale huku wengi wao wakihisiwa kuwa ‘hawafai’. Lakini mambo yakaja kubadilika baadaye, kuanzia mwaka 1998,…

Soma Zaidi...
Lady Jaydee WADAU mbalimbali nchini wamempongeza mwanamuziki mahiri wa kike Tanzania, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ kwa kufungua mgahawa wake unaojulikana kama Nyumbani Lounge hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wadau hao akiwamo Rose Philipo alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa Lady Jaydee ni mfano wa kuigwa miongoni mwa wasanii…

Soma Zaidi...
Wasanii UMAKINI katika mpangilio mzima wa utoaji wa Tuzo za Kili Music zinazoratibiwa na Baraza la Sanaa la Taifa nchini (BASATA), unatakiwa uwe na mpangilio na elimu ya kutosha itolewe kwa washiriki. Maoni ya Tanzania Daima leo yamefuatia wingu la wasanii ama vikundi mbalimbali kutangaza kujitoa huku kila mmoja au kikundi…

Soma Zaidi...
Dogojanja Kwa miaka mingi sasa arusha imekuwa gumzo la ufanisi wa kazi zake za HIPHOP, wasani kama NAKO2NAKO na XPLASTERS, JCB na hatimae DOGO JANJA wakiwa wanailetea jina na heshima kubwa jiji hilo na sasa sifa hizo kumuangukia kijana Mwanahiphop mkongwe MOPLUS toka 009 a.k.a. ungalimited" pande za Arusha nae anakuja…

Soma Zaidi...
Kilimanjaro Music Awards 2011 Imekuwa kawaida katika kipindi hiki cha tuzo za kili awards kusikia wasani wakubwa wakijitoa katika vinyanganyiro hivyo kwa tuhuma kuwa hazitendi haki kama inavyostahili. Hapo nyuma tulishashuhudia kina Mwana FA wakigoma kushirikishwa kwenye tuzo hizo na hadi kuandika barua ya wazi kwa vyombo vya habari kwa sababu alizosema kuwa chombo…

Soma Zaidi...
<< Mwanzo < Iliyopita 21 22 23 24 25 26 27 28 29 Inayofuata > Mwisho >>

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.