Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Wahapahapa Blog
Je, Serikali Inaunga Mkono Sanaa Inavyotakiwa? MU hali gani wadau wangu wapendwa wa Kijiwe chenu hiki kitamu cha Burudani, kiwajiacho kila wiki katika siku mwanana na tulivu kama ya leo, yaani Ijumaa. Sina shaka wengi wenu kama si wote, ni wazima wa afya tele na siha njema wakati huu mnapotaradadi kurasa maridhawa za gazeti hili pendwa…

Soma Zaidi...
Jide Amaliza Kibarua Mzalendo KIONGOZI wa Machozi Band, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ amefanya maamuzi magumu ya kuivunja ngome yake ya Mzalendo Pub leo alfajiri aliyokuwa akiitumia kutumbuiza kila Ijumaa, ambapo amesema sasa siku hiyo ataitumia kutoa burudani ukumbi wa Nyumbani Lounge uliopo Namanga jijini Dar. Pichani Jaydee akitumbuiza mara ya mwisho ukumbini hapo baada…

Soma Zaidi...
Wasanii Inuaneni, Acheni Kubaniana KUMEKUWA na kelele nyingi kutoka kwa baadhi ya wasanii wachanga wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ na filamu kuwa hawapati ushirikiano kutoka kwa wasanii wakubwa wa fani hizo. Wasanii hao wachanga wanadai wamekuwa hawapati ushirikiano wa kimawazo katika kazi zao kutoka kwa wasanii hao ambao tayari wamekwisha kutoka na…

Soma Zaidi...
H. Baba, Kova Mic Moja Katika hali ambayo inaweza zua kichekesho cha aina yake kwa wapenzi wa muziki,msanii H Baba yuko kwenye mkakati wa kumuingiza studio Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dsm, Suleimani Kova,kufanya nae track moja ikiwa ni njia mojawapo ya kuelimisha jamii kupitia muziki. Katika wimbo huo ambao hakuutaja jina pia atawashirikisha…

Soma Zaidi...
Mh. Rais Soko Kigezo Kipi Kimekuza Soko la Filamu? - Bishop MWANDISHI wa muswada (Script Writer) wa hapa nchini Bishop Hiluka ameshutumu kwa baadhi ya taasisi na wasanii ambao wamekuwa wakitoa taarifa za uongo kuhusu ukuaji wa soko la filamu kwa hapa Tanzania, kwa sababu takwimu ambazo wamekuwa wakizitangaza ndizo zinazidi kuua tasnia hii ya filamu kwa sehemu kubwa mara nyingi…

Soma Zaidi...
Msama Wakamata Mhujumu Mwingine KAMPUNI ya usambazaji wa kazi za wasanii wa Injili, Msama Promotions, jana ilimkamata Mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam Mwakwi Yahya kwa tuhuma za kumiliki kazi bandia za wasanii mbalimbali zenye thamani ya sh milioni 1.8. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Msama…

Soma Zaidi...
Kanumba Kulikoni na Mchumba wa Mtu? STAA wa filamu za Kibongo, Steven Kanumba ‘The Great’ (pichani), amezua mjadala vichwani mwa wadau wa burudani ndani ya Ukumbi wa Bilicanas Posta, Dar es Salaam baada ya kunaswa usiku wa manane akiwa na mrembo aliyedai kuwa ni mchumba wa mtu ambaye jina halikupatikana.Katika tukio hilo lililoshuhudiwa na paparazi wetu,…

Soma Zaidi...
Mzee Yusuf na Epiq Nation Festivo Si mwingine bali ni yule mwimbaji wa miondoko ya kidole juu 'Taarab' hapa nchini, Mzee Yusuph anatarajia kupagawisha mashabiki zake kwenye tamasha la Epiq Nation litakalowika  siku ya Jumamosi ndani ya Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke hapa Jijini. Kwani Tamasha hilo liliandaliwa kwa pamoja na Kampuni ya simu ya mkononi…

Soma Zaidi...
15 Julai 2011

Usiku wa Kopo

Usiku wa Kopo Kampuni ya Entertainment Masters Limited magwiji wa burudani nchini, wameamua kuja kivingine na kutoa burudani ya aina yake. Usiku huu maalum ujulikanao kama usiku wa Kopo itatawaliwa na nderemo, muziki na vinywaji mbali mbali vya kopo. Lengo haswa ni kuwapa burudani wakaazi wa Temeke na vitongoji vyake. Usiku wa Kopo…

Soma Zaidi...
15 Julai 2011

J Sisters Kuzindua

J Sisters Kuzindua Si lingine bali ni lile kundi maarufu la muziki wa Injili hapa nchini Tanzania linalopikwa na mabinti wanne wanaotoka ndani ya familia moja J Sister, wanatarajia kuwasha moto Julai 31 mwaka huu ikiwa ni siku ya uzinduzi wao utaofanyika kwenye Ukumbi wa ukumbi wa Diamond Jubelee. Kundi hilo litasindikizwa na…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.