Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Wahapahapa Blog
H. Baba & Flora 'Fulu' Utata PENZI la mastaa wawili wanaotamba katika tasnia za filamu na muziki Bongo, Hamis Ramadhani Baba ‘H Baba’ na Frola Mvungi limeanza kuchokonolewa na kudaiwa kufanyiwa mambo  ya kishirikina, Risasi Mchanganyiko lina taarifa.Akizungumza na gazeti hili Jumapili iliyopita katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam, H Baba alisema kuwa, amekumbana…

Soma Zaidi...
Tamasha la Jivunie Utanzania Njiani - Kili KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager imeandaa tamasha linalojulikana kama ‘Kilimanjaro Premium Lager Fun Festival’. Kwa mujibu wa Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe, huo ni uzinduzi wa Kampeni ya Kili ‘Jivunie Utanzania’ kwa ajili ya kusherehekea miaka 50 ya Uhuru…

Soma Zaidi...
Riz One Imekamilika - Izzo B Ile video ya track ya msanii Izzo Biznes inayotamba kwa sasa ya 'Riz-One' itaachiwa muda sio mrefu kuanzia sasa. Kwa mujibu wa Izzo B mwenyewe amefunguka kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema "Siku si nyingi video ya RiZi-OnE itakuwa hewani stay tuned guys!!"

Soma Zaidi...
Home Village 2 Njiani SEHEMU ya pili ya filamu kali na ya kusisimua ya Home Village ipo tayari na inategemea kuingia sokoni wakati wowote kuanzia sasa, filamu hii katika sehemu ya pili watengenezaji wametumia utalaam wa Teknorojia ya kisasa kabisa ambayo inawezekana ikawa ndiyo filamu ya kwanza kutumika katika filamu ambazo zimetengenezwa na kuingia…

Soma Zaidi...
Ludacris Ndani ya Msimu wa Dhahabu Mwanamuziki mahiri wa miondoko ya Hip hop ambaye pia ni muigizaji wa Filamu kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Christopher Brian Bridges aliyezaliwa mnamo Septemba 11, 1977, ambaye pia anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Ludacris, anatarajiwa kushuka nchini Tanzania na kuangusha bonge la shoo kwenye tamasha la…

Soma Zaidi...
Dudubaya Ndani ya Tasnia ya Muvi Baada ya THE MUSK sasa nimecheza movie inayoitwa THE LEOPARD GHOST akiwa amemshirikisha msanii mwenzake HEMED. Movie hiyo itatoka soon humo ndani nimecheza kama rafiki wa Hemed pia ni mwanamziki, nimetumia jina la Dudu na Hemed yeye ametumia jina la Tesha.So wapenzi wa filamu bongo na nje ya bongo kaeni…

Soma Zaidi...
Ray Njiani na Vikali Vipya MUONGAZAJI na muigizaji nyota katika tasnia ya filamu hapa nchini Vicent Kigosi (Ray The Greatest) kupitia kampuni ya RJ Company ametambulisha vipaji vipya katika filamu zake mbili kali za Unpredictable na What is it?, kampuni hii mahiri katika kuibua vipaji na kutoa mchango mkubwa katika maendeleo ya tasnia hii ya…

Soma Zaidi...
Mkutano wa "Mastaa" Watumbukia Nyongo AMANI, utulivu na ustaarabu vilionekana kuwa ni misamiati migumu katika mkutano wa mastaa wa maigizo Bongo na kusababisha pachimbike kufuatia kauli za Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba  kutema mbovu kwa mastaa wanaobambwa na skendo za ngono kila kukicha, Ijumaa Wikienda lina a-z. Sinema hiyo iliyokosa ‘director’,…

Soma Zaidi...
Taarifa ya Sugu kwa Vyombo vya Habari Siku ya tarehe 8 Julai 2011 Polisi walinikamata kwa kile walichokiita kuwa ni kufanya mkutano bila kibali. Hata hivyo, mtiririko wa matukio unaonyesha kwamba polisi walisukumwa na sababu nyingine kwa kuwa suala la taarifa kupelekwa polisi kama sheria zinavyohitaji lilishashughulikiwa na viongozi wa CHADEMA mkoa na wilaya ya Mbeya Mjini.…

Soma Zaidi...
Afadhali Filamu Kuliko Tamthilia - Nkwabi MUIGIZAJI Nyota anayetamba katika tamthilia ya 69 Records inayorushwa na kituo cha Clouds Tv Juma A. Nkwabi anasema kwa katika uigizaji wa filamu ni rahisi kuliko Tamthilia iwapo tamthilia hiyo itakuwa imepangiliwa kwa kufuata taratibu husika, akiongea na FC amesema kuwa pamoja na kuigiza katika tamthilia inayoendelea lakini kabla ya…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.