Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Wahapahapa Blog
Machozi Kusherehekea Miaka 6 BENDI ya machozi inayooongozwa na mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jay Dee' au Binti Machozi  inatarajia kufanya Party, kwaajili ya kujipongeza kwa kutimiza miaka sita ya bendi hiyo. Akiongea meneja wa bendi hiyo na mume wa mwanamuziki Lady Jay Dee,  Gadner G Habash amesema Party hiyo watatoa tuzo za pongezi kwa wale…

Soma Zaidi...
Bado Nipo Nipo Sanaaa - Lulu Azidi kufunnguka sasa kwenye chati za filamu za kibongo hapa nchini, huku akiwaweka watu vinywa wazi baada ya kusema kule kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa 'Bado nipo nipo Sanaaa'. Si mwingine bali ni yule msanii wa filamu za kibongo Elizabeth Michael 'Lulu', kwa sasa anakuwa sahani moja na nyota…

Soma Zaidi...
Wasanii Mnatambua Juhudi za Serikali? MIEZI mitatu iliyopita serikali imeonyesha mwelekeo wa kutaka kuisaidia nyanja ya sanaa na utamaduni baada ya kelele lukuki kutawala nyanja hizo muhimu hapa nchini. Sababu zilizoonekana kuwa kikwazo katika nyanja hizo kwa upande mwingine zinaonekana ni kutokujitambua kwa wasanii ambao wanapiga kelele kila siku. Mara zote wasanii wanapiga kelele kutokufanikiwa…

Soma Zaidi...
Tino Azipa Kisogo FIlamu za Mapenzi MSANII maarufu wa filamu nchini, Hissan Muya ‘Tino’, ameapa kutocheza tena filamu za kimapenzi badala yake atacheza filamu za mapigano zinazoelimisha jamii. Akizungumza hivi karibuni Tino alisema kuwa kwa sasa amesitisha mpango wa kutengeneza na kucheza filamu za mapenzi kwa kuwa wengi wamejikita kutengeneza filamu za aina hiyo na kusahau…

Soma Zaidi...
Wasanii wa Kizazi Kipya Tumbukieni Filamuni KARIBUNI wapenzi wa sanaa ya filamu nchini katika kona hii ya Vunja vunja inayozungumzia masuala ya filamu za ndani. Leo katika eneo hili nitakuwa nikiwaomba waimbaji wa muziki kujiingiza katika uigizaji wa filamu ili kujiongezea kipato na kupanua wigo wao wa sanaa. Hivi karibuni kuliibuka kwa taarifa zilizokuwa zikihusisha makundi…

Soma Zaidi...
Wabongo, DSTV - Swahili ni Kwa Ajili Yetu WASANII wa fani mbalimbali hivi karibuni wamepata faraja ya kuwawezesha kutangaza fani zao kupitia kituo cha televisheni cha DSTV katika mpango unaojulikana kama AfricanMagic Swahili. Katika uzinduzi huo wa chaneli hiyo ya Kiswahili walihudhuria wasanii pamoja huku wandishi wa habari nao hawakuachwa nyuma katika kuchukua tukio hilo la pekee kwa…

Soma Zaidi...
Choki Unachemkia Padogo Kinoma - Mensah HABARI za Sabasaba wadau wangu wa Kijiwe hiki cha burudani? Sina shaka mu wazima wa afya na mmetulia tulii majumbani kwenu mkiifurahia sikukuu hii muhimu. Kwa wale wenzangu na mimi, wafanyabiashara pamoja na baadhi ya wafanyakazi ambao hamna mapumziko ya wikiendi wala sikukuu, naamini muda huu mnapoendelea vema na pilikapilika…

Soma Zaidi...
Chipukizi Hawanitishi - Jini Kabula Mcheza sinama za Bongo, Mariam Jolwa a.k.a Jini Kabula amekanusha kufunikwa na wasanii wanaochipukia kwenye tasnia hiyo wanaodaiwa kuigiza kuwa usitadi mkubwa kuliko yeye. Jini Kabula alisema kuwa hayupo kwenye fani hiyo kwa ajili ya kushindana bali anatumia kipaji alichopewa na Mungu kufikisha ujumbe ambao hulenga kuufikisha katika jamii kupitia…

Soma Zaidi...
Irene sasa Kutoka Kivyake Fulu MUIGIZAJI wa filamu mwenye jina kubwa katika tasnia hii Irene Uwoya anasema kwa sasa hatoshiriki kuigiza katika filamu ya Mtayarishaji mwingine zaidi ya Filamu zake ambazo atakuwa akitayarisha mwenyewe, sababu ya kufanya hivyo ni kujipa muda wa kutosha kwa ajili ya kufanya kazi zake, anaposhiriki filamu za watu wengine anajikuta…

Soma Zaidi...
Fella Atumbukia kwenye Taarab Unaweza usiamini lakini ukweli ni kwamba bosi mkuu wa kundi la 'TMK Wanaume Family' Said Fella, anaandika historia kwa kuamua kupanda jukwaani akishika ‘Mic’, ili kuinadi albamu yake ya muziki wa Taarab.hahaha Fella ambaye anasema albam hiyo ambayo bado hajaipa jina,tayari amekwisha rekodi nyimbo 5  na anaanza rasmi kuinadi huku…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.