MISEMO ya Wahenga Unena Ukweli unauma, lile sakata la wizi wa mkanda (Min Dv) wa Filamu ya God is Great kutoka Jijini Mbeya likiwa linaendelea na mhusika Jackline Wolper kujaribu kutetea hoja yake ya kuwa yeye hakuiba Dv hiyo bali alichukua kwa sababu alikuwa akiwadai watayarishaji walishindwa kumlipa ndio maana…
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kwamba,tunzo mbalimbali zinazotolewa kwa wasanii zinalenga kuthamini mchango wao katika tasnia na kujenga hali ya ushindani miongoni mwao katika kubuni kazi zilizo bora.Hayo yamesemwa na Afisa wa Sanaa wa Baraza hilo,Bw.Lawrance Hinju wakati akiliahirisha Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila Jumatatu makao makuu ya…
Toka pande za Morogoro, Selemani Msindi 'Afande Sele' ameendelea na msimamo wake wa kutofanya kazi yoyote ya muziki kwasasa mpaka pale ukiritimba utakapomalizika kwenye vyombo vya habari. "Naendelea kusisitiza kuwa, ni bora nibaki kulima muhogo huku Morogoro kuliko kila siku kufanya kazi ambayo mwisho wake inakuwa ni kama hewa tu…
Kuna uwezekano mkubwa mara nyingi unaposikia neno "Pemba" picha inayokujia kwa haraka katika fahamu zako ni karafuu na marashi yake. Basi fahamu zako ziko sahihi kabisa lakini kuna zaidi ya hilo unaloambiwa na fahamu zako, Pemba kumeibuka wasanii wa tasnia ya filamu na wameingia kwa kishindo katika soko la tasnia…
MAONYESHO ya Filamu za kiswahili yaliyopewa jina la Swahili Film Day katika tamasha la filamu la nchi za Majahazi (ZIFF) kwa mwaka huu yamekosa msisimko kulinga na mabadiliko ya ratiba tofauti na mwaka uliopita, Wadau wa filamu waliohudhuria tamasha hilo kwa mwaka huu wamesema mambo yamebadilika sana, na kama mwelekeo…
Baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini,Joseph Mbilinyi (Chadema) kulalamika weeee kuhusu ile studio ya JK aliyotoa zawadi kwa wasanii,jana ilikuwa ni zamu ya mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vicky Kamata. Kamata ambaye pia ni msanii ameitaka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuwaeleza wasanii studio aliyotoa Rais Kikwete kwa…
TANZANIA yetu ina vikwazo na kero nyingi, likiwamo tatizo la umeme; pamoja na kero hiyo, yapo mambo ambayo yanaweza kuwapumbaza Watanzania, kama vile michezo na burudani. Kiukweli, hata kama utakuwa na tatizo la namna gani, linapotokea suala la michezo na burudani, angalau mtu unaweza kujisogeza karibu na kuangalia kwa nia…
TANZANIA yetu ina vikwazo na kero nyingi, likiwamo tatizo la umeme; pamoja na kero hiyo, yapo mambo ambayo yanaweza kuwapumbaza Watanzania, kama vile michezo na burudani. Kiukweli, hata kama utakuwa na tatizo la namna gani, linapotokea suala la michezo na burudani, angalau mtu unaweza kujisogeza karibu na kuangalia kwa nia…
TAMASHA la filamu la kumuenzi Muongozaji na mtunzi mahiri wa filamu na vitabu nchini Hammie Rajab, Tamasha hilo linajulikana kwa jina la Hammie Rajab Weekly Festival linaandaliwa na TAFF kwa kushirikiana na Nafasi art Spice akiongea na FC mmoja wa waratibu wa tamasha hilo amesema kuwa katika tamasha hilo pamoja…
MFDI - Tz walikuwa Zanzibar juma lililopita kuhudhuria tamasaha la Filamu la Majahazi, au ZIFF. Katika tamasha hilo Jordan Riber, ambaye amengoza filamu ya CHUMO ambayo imetengenezwa chini ya MFDI, alishinda tuzo ya mwongozaji bora, na wakati huohuo mwigizaji wa filamu hiyo, Jokate Mwegelo, akishinda tuzo ya mwigizaji bora wa…