Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Wahapahapa Blog
AY Tayari Kunyuka Video Anayeaminika mpaka sasa kuwa ndiye msanii pekee wa Bongo aliyeweza kupata mafanikio ya hali ya juu ya muziki kimataifa,namzungumzia Ambwene Yesaya 'AY' tayari yuko ndani ya jiji la Los Angeles ,Californi kwa ajili ya kushoot Video ya wimbo  'Speak with your Body' aliomshirikisha mtoto wa producer nguli wa marekani Master P.…

Soma Zaidi...
Msanii, Heshima huanza na Wewe KWA yakini nisingelazimika kuandika mtazamo huu kama nisingetokewa na jambo hili ninalotaka kulielezea hapa chini. Jumanne iliyopita niliwatembelea mazoezini kwao wasanii wa kundi jipya la mipasho; Kings Modern Taarab, Mburahati, jijini Dar es Salaam katika pilikapilika zangu za kawaida kama mwandishi. Cha kusikitisha na kukatisha tamaa, ukiondoa Mkurugenzi Mkuu wa…

Soma Zaidi...
Inakuwaje Wasanii wa Kibonge Hamjiendelezi? KARIBUNI wapenzi wa safu hii ya Vunja vunja ambayo hukupatia fursa ya kutambua maendeleo ya filamu za hapa nyumbani ikiwa ni pamoja na kuchambua mambo ambayo hayapendezi watazamaji nia ikiwa ni kuwezesha tasnia hii isonge mbele. Leo katika vunja vunja tutakuwa tukiwavunja waandaaji na waigizaji ambao wamejikuta wakivimba vichwa baada…

Soma Zaidi...
Salamu za Jaffari kwa Sugu Mwanamuziki wa kizazi kipya Jaffarai, ametumia ujumbe kwenye uwanja wa Sura ya kitabu maarufu kama FaceBook, ujumbe unaosema hivi........... Jaffarai Jaffarhymes  Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. Sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi…

Soma Zaidi...
Ngoma za Asili Zingalipo - BASATA BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limesema ngoma za asili bado zina hadhi na nafasi kubwa katika jamii ingawa kwa maeneo ya mijini mwamko wa sanaa hiyo unaonekana kupungua tofauti na zamani. Akizungumza kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila wiki makao makuu ya Baraza hilo, Ilala, Sharif Shamba, Katibu Mtendaji…

Soma Zaidi...
Prof. Jay na Utengenezaji wa "Kama Ipo" Takribani mwezi mmoja uliopita, Professor Jay(The HeavyWeight MC) aliachia wimbo wake wa kwanza kutoka katika album yake mpya inayotarajiwa kuingia kitaani baadae mwaka huu.Baada ya hapo,na kama ilivyo ada,kilichokuwa kinafuata ni kutengeneza video ya wimbo huo ambao mpaka hivi sasa wapenzi wengi wa muziki wametokea kuupenda na kuukubali(kwanini usiupende?). You…

Soma Zaidi...
Fanali Kimwana wa Twanga Yanukia (Baadhi ya washiriki walioingia kumi bora katika shindano la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011, kutoka kushoto ni Johari Juma, Amanda Cyprian, Rehema Said, Mariam Mwakyoma na Amina Juma.)  Washiriki wa Shindano la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 wameiva na wako tayari kwa ajili ya Fainali za Kimwana wa Twanga Pepeta…

Soma Zaidi...
Masikini Mariam... ALIYEKUWA mshindi wa kwanza katika shindano la  Bongo Star Search 2010 maarufu kama BSS, Mariam Mohamedi hivi sasa hali yake  ya kiuchumi inazidi kuwa mbaya kisi cha kurudia rafiki zake ambao mwanzo aliwakana kwa madai kwamba thamani yake ipo juu.   Akiongea mmoja wa rafiki zake alidai kwamba Mshindi huyo…

Soma Zaidi...
Elephant Man Funiko Bovu Str8Muzik Beach Party MAMIA ya mashabiki wa burudani, walijimwaga na kuselebuka kwenye Club ya Mbalamwezi Beach jijini Dar es Salaam kushiriki Tamasha la Str8Muzik Beach Party 2011, ambako kulikuwa na mgeni wa kipekee, ambaye ni mwanamuziki wa kimataifa, Elephant Man aliyekonga nyoyo za mashabiki. Nyota huyo, mwimbaji wa muziki wa Dancehall Reggae, Elephant…

Soma Zaidi...
Chegge, Temba Wafyatua Mpya Wabishi wawili toka maskani za TMK,Chegge Chigunda a.k.a Mtoto wa Mama Saidi  na Amani Temba aka Mhe. Temba  wanaowakilisha kundi zima la  TMK Wanaume Family,wameachia rasmi kwenye radio stations ngoma yao mpya 'Kama ni Gangstar'. Kama ni Gangstar ni single yao ya 2,baada ya ile ya 'Kinomanoma' na hii  itakua…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.