MWANAMUZIKI wa Marekani, Shaggy, jana aliachwa hoi na Wasukuma baada ya kumkabidhi vifaa vya asili vya utamaduni wa kabila hilo. Shaggy alikabidhiwa mkuki, fimbo, usinga, kaniki na machifu wa kabila la Kisukuma, wakiongozwa na Mark Bomani. Shaggy alikabidhiwa vifaa hivyo katika sherehe ya ngoma za asili ya Kisukuma, inayofanyika Bujora…
Blogu ya Bongo Star Link inaandika: Habari zilizonifikia zinasema kuwa msanii wa bongo fleva Ally Kiba amepata ajali maeneo ya Mikumi Morogoro akiwa anatokea MBEYA akiwa na steji show wake. Nimeongea na Ally Kiba akaniambia alikuwa na show Mbeya na baada ya kumaliza show hiyo ilibidi waondoke na kurudi Dar…
Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, HAPPY THADFI aka SISTER P (pichani kushoto) amepandishwa jana kizimbani kujibu shtaka la kujeruhi kwa kutumia chupa. Happy mwenye umri wa miaka 26 mkazi wa mwananyamala kwa kopa alipandishwa jana katika mahakama ya manzo kinondoni. Mbele ya hakimu HANIFA MWINGIRA , karani…
Bendi ya maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU yenye makao yake nchini ujerumani,inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya jumamosi 26.06.2011 katika onyesho kambambe mjini Heidelberg,ujerumani. Pia siku ya jumapili 26.06.2011 Kikosi kazi hiko cha FFU wa Ngoma Africa Band, kitaelekeza mashambulizi yake ya mziki katika oynesho lingine "Afrika…
TAMASHA kubwa la filamu limapangwa kufanyika jijini Tanga kwa muda wa wiki moja; imeelezwa jijini Dar es Salaam jana. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Sofia Production, kammpuni inayojishugulisha na uchukuaji na utayarishaji wa picha za video, Mussa Kissoky alisema tamasha hilo litafanyika kwenye viwanja vya Tangamano. Alisema lengo…
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Sarah Kaisi ‘Shaa’, anatarajia kutumbuiza katika shindano la Big Brother Africa Jumapili hii. Msanii huyo atatumbuiza wakati wa ‘show’ ya kila Jumapili ya kutolewa kwa mshiriki atakayekuwa na kura chache. Katika shindano hilo, kila wiki mshiriki mmoja au wawili hutolewa, hivyo wasanii kutoka nchi…
MWANAMUZIKI mwenye machachali hasa kwa mtindo wa kupaka rangi nyekundu na nyano katika nywele zake, toka nchini , Elephant Man 'Enegyn god' , ametua jijini Dar es salaam kwaajili ya Show kabambe itakayodondoshwa siku ya jumamosi, kando kando yaani fukwe za bahari Hindi pale Mbalamwezi Beach, katika bonanza la Star8…
Mwanamuziki wa Zanzibar ambaye amejitwalia tuzo mbili, Sultan Abubakari Sultan 'Sultan King' amesema anatarajia kuhamisha makazi yake jijini Dae er salaam katika miezi ya hivi karibuni. amesema lengo lake ni kuitangaza Zanzibar katika medani ya muziki wa Bongo Fleva katika anga ya Dar na kujulisha watu kwamba Zanzibar kunavipaji vingi…
Wapo watu walionewa, hawana kipato lakini wana moyo wa ushindi kila siku, wanaimba huzuni lakini mziki wa huzuni ndiyo furaha yao...Wanajidai na kujivunia vile vile walivyo. Watu hawa hawana kitu lakini hawana shida. They are who they are, na moja wao akaimba kuipokea hali yao.I am who i am, lord…
Berry Black akiwa katika ziara yake nchini Uingereza. The King Of Zenji Flava Berry Black alipata nafasi ya kushirikiana kikazi na kundi moja kali la M2S lenye makao makuu yake jijina London Uingereza, linaloundwa na The 5 Star General Juny Man, Babiy Cee na Chemical. Na hii ni baadhi tu…