Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Amini mwinyimkuu ‘Amini’ ametunga wimbo maalum kwa vijana wenzake kwa kuwasihi waachane na uasharati. Akizungumza na Bongo5, mwanamuziki huyo toka Nyumba ya Vipaji Tanzania THT, alisema wimbo huo ameleeza kwamba mapenzi ni hisabati. Alisema mtu unapoachana na mwenzako lazima utaenda kwa mwengine, na ukiachana…
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetamba katika miondoko ya Hiphop,Fareed Kubanda aka Fid Q ametoa wito kwa wadau wa sanaa hasa waandishi kujikita katika kuandaa machapisho na vitabu vinavyoelezea undani wa muziki huo.Wito huo umekuja wakati ambao hakuna tafiti zinazofanywa katika muziki huo hapa nchini kiasi cha kutokuwepo kwa…
Mbeya hatuhitaji upuuzi unaoitwa FIESTA, kwahiyo isije na naapa...uamuzi huu ni sehemu ya mapambano yetu dhidi ya maadui hawa wa maendeleo ya sanaa,and we are very serious on this one!!!HATUHITAJI FIESTA MBEYA,MI NAWAKILISHA TU MATAKWA YA VIJANA WA MBEYA...HASA WA MWANJELWA(SIDO) NDO WAMELILETA HILI KWANGU NA NINA FURAHA KUWA NAO…
Mara tu baada ya kuwasili nchini Italia kwa maonyesho ya kimuziki msanii Diamond hakukawizwa baada ya kunaswa na studio za SEE RECORDS zilizopo Napoli,Italy na kurekodi track moja bure. Salim ambaye ndiye mkurugenzi wa SEE RECORDS anasema anawakaribisha wasanii wote wa Kibongo hasa wa Bongo Flava kufanya kazi na studio…
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo na kikundi cha muziki wa kiasili cha Segele, vitatoa burudani katika onyesho la uzinduzi wa vyombo vipya vya Mlimani Park Orchestra. Katibu wa Mlimani Park ‘Sikinde’, Hamisi Milambo alisema mjini Dar es Salaam jana kuwa, onyesho hilo limepangwa kufanyika Juni 25 mwaka…
Mwanamuziki mwenye sauti mwanana na yenye mvuto wa kipekee wa bendi ya FM Academia aka Wazee wa Ngwasuma, Jose Mara amejiondoa rasmi katika bendi hiyo. Taarifa zilizofika mezani kwetu zimeweka wazi kuwa Jose Mara au maarufu kwa jina la 'Josee' amejitoa FM Academia ili kuweza kuitumikia vyema bendi yake ya…
Wimbo mpya kutoka kwenye kundi la DASTAMINA linaloongozwa na Shetta the President wa kundi hilo utakaojulikana kwa jina la HUNIDAI SIKUDAI ndio unaotarajiwa kutoka hivi karibuni. Nikiongea na Shetta kwa njia ya simu ameniambiwa wimbo huo umetengenezwa pale MJ REC chini ya Producer Marco Chali, na walioimba kwenye wimbo huo…
Lile song lililojipatia umaarufu katika kila kona "Rushwa ni Adui wa Haki" kutoka kwao Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake Ujerumani, sasa limetua katika kambi ya FFU www.ngoma-africa.com . Song hilo lenye ujumbe muhim kwa jamii ni utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja, wa FFU…
Msanii anayejulikana kwa jina la AT kwa hivi sasa yupo mbioni kumalizia album yake ya mduara inayokwenda kwa jina la ASILI HAIPOTEI. AT amesema kwa hivi sasa anatarajia kutoa wimbo mwingine unaoitwa VIFUU TUNDU ambao umetengenezwa studio ya KIRI REC iliyopo Kinondoni chini ya Producer C9. Anaomba mashabiki wake wawe…
Akiwa anatesana na tunzo zake mbili katika tamasha la wasanii bora wa mwaka 2011 Zanzibar (Zanzibar Music Award). Moja ikiwa ni Wimbo bora pamoja na Mwanamziki bora wa Kike. Mwanadada Baby J kwa sasa anatarajia kuachia video yake nyingine mpya itakayojulikana kwa jina la SUBIRA. Amewaomba mashabi wake wawe na…