Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Benjamin na 20 Percent Kula Sahani Moja Mwanamuziki Benjamini wa Mambo jambo amesema wimbo wake wa My Friend anataka kuutoa upya huku akimshirikisha mkali wa Bongo Fleva aliyejizolea Tuzo tano, Abas Kinzasa maarufu kama 20%  kutoka FAM Boys na mtu mnene toka Maxicana Lacavera  Baghdad, kwa pamoja  wanaungana ilikuikamilisha wimbo huo. Benjamini anasema kuufanyia 'Rhymix' wimbo huo,…

Soma Zaidi...
25 Aprili 2011

Tanzania All Stars

Tanzania All Stars AHLAN wasaalan mpenzi msomaji wangu wa Jamvi la Kulonga ni Ijumaa nyingine tunakutana Jamvini katika kujadili na kuchambua haya na yale yaliyojiri na yanayotarajiwa kutokea katika tasnia ya sanaa na burudani. Katika Jamvi la Kulonga ningependa kuizungumzia bendi ya Tanzania All Stars ambayo ilikuwa ni mkusanyiko wa wanamuziki wapatao 51…

Soma Zaidi...
Usitishwe na Spidi Yangu - Linex MSANII wa muziki wa Kizazi Kipya nchini, Sunday Mangu maarufu kama ‘Linex’ amewatoa shaka mashabiki wa aina hiyo ya muziki juu ya uwezo alionao katika kuandika mashairi yatakayomweka juu kwa muda mrefu. Msanii huyo alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam juzi, wakati akijibu swali kuwa, haofii kupotea masikioni mwa…

Soma Zaidi...
Dida Hukuwa Sawa "Kuwatolea Uvivu" 5 Star MAMBO vipi wadau wangu wa Kijiwe hiki adhimu cha Burudani? Sina shaka wengi wenu ni wazima wa afya kama nilivyo mimi, ambako wale ambao hawakujaliwa kuamka salama tunawaombea kwa Mungu wapate ahueni. Jumapili iliyopita, baadhi ya wasanii wa kundi la Five Stars walifanya kisomo cha kuwaombea wenziwao 13, waliopoteza maisha…

Soma Zaidi...
Wizara Kuhitimisha Muswada wa Hatimiliki WIZARA ya Viwanda, Biashara na Masoko, imesema iko katika mchakato wa kukamilisha muswada wa mabadiliko ya sheria ya hatimiliki na hakishiriki ili kudhibiti wizi wa kazi za wasanii nchini. Akizungumza mwishoni mwa wiki kwa njia ya simu, Waziri wa wizara hiyo, Cyril Chami, alilisititiza kuwa, serikali inatambua kilio cha wasanii juu…

Soma Zaidi...
Msondo 'waitwaa' DDC Kariakoo BENDI kongwe ya muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Music ‘Mambo Hadharani’, imehamishia rasmi maonyesho yake ya kila Jumapili kwenye ukumbi wa DDC Kariakoo, uliokuwa ukitumiwa na mahasimu wao, Mlimani Park Orchestral ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa bendi…

Soma Zaidi...
Mahakama Yauzibia Ukumbi wa Maraha HATIMAYE mahakama imeamuru kufungwa kwa ukumbi wa Palm Inn, uliokuwa ukitumika kwa ajili ya kuendesha shughuli za muziki nyakati za usiku katika eneo la Nyakato Mecco, Kata ya Nyakato jijini Mwanza. Amri hiyo ambayo imetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, imemwamuru mmiliki wa Palm Inn kusimamisha shughuli zake hizo…

Soma Zaidi...
Bitchuka na Vibao Vipya MWIMBAJI maarufu wa bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini ya Mlimani Park ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’, Hassan Rehani Bitchuka, ametambulisha nyimbo mbili mpya ambazo zimeanza kufanyiwa mazoezi lakini bado hazijapewa majina. Akizungumza kwenye ukumbi wa SUWATA, Kariakoo, Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari wa bendi hiyo,…

Soma Zaidi...
Dodoma Wakesha Wakisubiri Tamasha la Pasaka WAKAZI wa Dodoma wanalisubiri kwa hamu kubwa Tamasha la Injili la Pasaka linalotarajiwa kufanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa Aprili 25. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi mjini hapa, wakazi mbalimbali walisema kuwa, watahudhuria tamasha hilo ili kushuhudia vipaji vya waimbaji hao mahiri wa Injili. Kwa upande wake, Neema…

Soma Zaidi...
Tamasha la Mzalendo Halisi Mwezi Juni Kwanza tunatanguliza shukurani kwa kulitambua na kulifahamu Tamasha la Muziki la Mzalendo Halisi 2011, "tamasha maarufu la muziki na sanaa asilia za Tanzania"— tamasha linalosherehekea sanaa, utamaduni, historia na umoja wa jamii yetu. Tunashukuru kwa ushiriki wenu kulielezea na kulitambulisha tamasha la mwaka huu kwa jamii. Jinsi muda unavyokaribia, tutakuwa…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.