Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
20Pasenti Ndani ya Mkuranga UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wilayani hapa umeandaa sherehe za kumpongeza msanii nguli Abbas Kinzasa ‘20 Percent’ ambaye ni mzaliwa wa wilaya hiyo kwa kutwaa tuzo tano za Kilimanjaro. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi juzi, Mwenyekiti wa UVCCM wilayani Mkuranga, Miraji Ndange, alisema uamuzi huo unalenga…

Soma Zaidi...
Choki Aendelea Kuikaba Koo Twanga BENDI ya muziki dansi Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa Kizigo’ imezidi kuibomoa African Stars ‘Twanga Pepeta’ baada ya kufanikiwa kuwanyakua wanenguaji wawili sambamba na kumrejesha mpiga drums wake aliyekuwa Dubai. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa bendi hiyo, Ally Choki, alisema, wamewachukua wanenguaji Fatuma Kiboroloni na Mwantumu…

Soma Zaidi...
20Percent Afunika Tanga Msanii maarufu, mshindi wa tuzo tano za Kili Awards, rekodi ya kipekee, aliangusha show ya nguvu mjini Tanga Jumamosi ya tarehe 16 ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru wapenzi wa nyimbo zake ambao ndio waliomwezesha kuweka rekodi hiyo ya aina yake katika tasnia ya muziki wa Tanzania. Akiongea na wahapahapa msanii…

Soma Zaidi...
Kimwana wa Twanga Pepeta 'kuchomoka' na Duka KAMPUNI ya Manywele kwa kushirikiana na The African Stars Entertainment jana wamezindua rasmi shindano la kumsaka Kimwana wa Twanga 2011. Mratibu wa shindano hilo, Maimatha Jesse, amesema kwamba baada ya kufanya uzinduzi huo fomu za kushiriki zinapatikana ofisi za Manywele Kinondoni Manyanya, ASET na Steers jijini Dar es Salaam na…

Soma Zaidi...
Bongo Flava Remix Iko Jikoni Ngoma inayotamba kwasasa kwenye Radio Station karibia zote za Dar “Bongo Fleva” chini ya Mkali Dully Sykes a.k.a Brotherman inatarajiwa kufanyiwa Remix ambapo vitasimama vichwa hatari unavyovijuwa kwenye Bongo Fleva Akichonga na Entertainment ya Dar411 Dully Sykes alisema kuwa ndani ya ngoma hiyo kutakuwa na Lady Jaydee, na Mwana FA…

Soma Zaidi...
Wasanii Wapabamba Matembezi ya Maji 2011 Hao ni miongoni mwa Nyota waliopamba matembezi maalum ya kuchangisha fedha za kusaidia uchimbaji wa visima, Wilayani Bagamoyo yaliyofanyika siku ya Jumamosi. Si wengine bali ni wale Nyota wa muziki wa kizazi kipya, Mheshimiwa Temba na Chegge wa kundi la Wanaume Family akiwemo na msanii wa Filamu za kibongo hapa…

Soma Zaidi...
Five Star Wafanya Hitma, Waishukuru Serikali UONGOZI wa kundi la Five Stars Modern Taarab, la jijini Dar es Salaam, umeishukuru serikali kwa kuwa nao bega kwa bega katika maandalizi ya kulisuka upya kundi hilo, lililowapoteza wanamuziki wake 13 katika ajali ya gari iliyotokea Machi 21, mwaka huu Mikumi, Morogoro. Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Mwenyekiti…

Soma Zaidi...
Matonya Anapiga Shule Watu walikuwa wakijiuliza Matonya yuko wapi mbona kimya, hatimaye amegongana na Dj Choka maeneo fulani na kumweleza kuwa alikuwa kwenye tour huko Mombasa Kenya. Ila wakati yupo Nairobi alikuwa studio akitengeneza wimbo na msanii wa huko huko Nairobi anajulikana kwa jina la Nonini, mbali na Nairobi pia ameshatengeneza biti kwa…

Soma Zaidi...
Mabadiliko Yanahitajika Muziki wa Bongo IKIWA katika siasa wanasiasa wamefanikia kujivua gamba, kwa nini katika muziki wa dansi nchini bado mambo ni yaleyale? Licha ya kwamba upo usemi kuwa nyoka hata kama atajivua gamba sumu yake itabaki palepale, hiyo ni kweli, lakini sasa ufike wakati wote kwa pamoja tuungane na kuchangaya mawazo kwamba ili kuunusuru…

Soma Zaidi...
Wasanii, Serikali Ndani ya Usingizi wa Pono UKITAZAMA mara nyingi watendaji wa kazi za sanaa wamekuwa ni wa kulalamika tu, hali ambayo inaonyesha kwamba sanaa inaelekea kaburini ingawa ina mchango mkubwa wa maendeleo ya jamii. Umuhimu wa sanaa katika maendeleo yoyote unatokana na kuwa ndiyo dira ya maendeleo ya jamii, kwa sababu asilimia kubwa ya matakwa ya…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.