Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Sauti yangu ni Mali ya Yesu - Q Jay Si mwingine bali ni yule Mkali wa RnB Tanzania, ambaye kwa sasa anaendelea kula matunda ya Ndoa Joseph Kelvin Mapunda aka Q-Jay kwa sasa ameokoka na kuamua kumfuata yesu! Alisema amekuwa akitolewa nje concert kibao ambazo anaalikwa kwa ajili ya kufanya show,kutokana na imani yake mpya aliyonayo sasa. Alisema amefunguka…

Soma Zaidi...
CP, Suma Lee Watupiana Maneno Siku za karibuni tulimskia cp wakati wa uzinduzi wa album yake akitangaza kuwa yeye na Suma lee wamerudi pamoja na kurudisha kundi kama Parklane lakini baada ya kupiga show ya uzinduzi na Cp kwenye uzinduzi wake.Jana Sumalee ametoa mpya baada ya kudai kuwa Cp hajamlipa pesa zake zote badala yake…

Soma Zaidi...
Matusi ya Nini? - Mbaraka Mwinshehe Ni Ijumaa jioni ninapoanza kuandika.Siku ya kazi imemalizika na nipo tayari kuelekea nyumbani.Lakini kutokana na ukweli kwamba jiji la Dar-es-salaam hivi sasa linaanza kufanana na Rio De Janeiro kwa foleni,sina budi kusubiri kidogo foleni ipungue. Nafanya hivi kwa sababu mbili;kwanza ni kweli kwamba sipendi foleni(sijamuona mtu anayependa labda anayejifunza kuendesha…

Soma Zaidi...
Bob Junior Ndani ya Bifu na Wema Sepetu Ni kama vile Bob 'Rais wa Masharubaro' Junior ameamua kuingia kwenye 'mapambano' na kila anayekutana naye. Kutoka kwenye blogu ya Bongo Star Link, Dj Choka anatufahamisha ifuatavyo; Habari nilizozipata mida hii kutoka kwa Rais wa Masharobaro Bob Junior ni kwamba kesho asubuhi ameitwa kituo cha Police pale Ostabey yeye na…

Soma Zaidi...
Wasanii Waazimia Sheria ya Haki Miliki Wasanii nchini wametoka na azimio la kuhakikisha ifikapo Juni mwaka huu muswada wa mahuisho ya sheria ya hakimiliki na hakishiriki Na.7 ya mwaka 1999 uwe umefikishwa bungeni na kupitishwa rasmi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila wiki kwenye Ukumbi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)…

Soma Zaidi...
The Dar Jazz Event, April 11 - 17 The Dar Jazz Event - a one week musical celebration of concerts, jam sessions, and seminars for local artists & musicians - with a dual mission of providing Education & Development opportunities for musically talented Tanzanian Youth, and of being the seed planted in order to establish an annual international…

Soma Zaidi...
Msondo Kuanzisha 'mashambulizi' DDC Kariakoo BENDI Kongwe ya muziki wa dansi ya Msondo Ngoma 'Baba ya Muziki' inatarajia kuanza kufanya onesho kila jumapili katika ukumbi wa DDC Kariakoo badala ya ukumbi wa Max bar Ilala kupanua wigo wa burudani kwa mashabiki wake.Akizungumza Dar es Salaam leo, Msemaji wa bendi hiyo Rajabu Mhamila 'Super D' alisema…

Soma Zaidi...
Sauti yangu Yamwimbia Mungu - Ephraim Ephraim Sekeleti Mutalange ni muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini Zambia, alizaliwa Mwaka 1983 katika mji wa Kalulushi nchini Zambia. Alimaliza elimu yake ya sekondari katika shule ya Kalulushi mwaka 2001.Ephraim ni mtoto wa pili toka mwisho kati ya watoto sita, aliingia kwenye muziki wa injili tangu akiwa kinda…

Soma Zaidi...
Sugu Akomaa na Studio ya JK Mjengoni Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Chadema), ameihoji serikali kwanini isipeleke vifaa vya studio ya muziki kwa Baraza la Taifa la Sanaa (BASATA) ili wasanii wengi waweze kuitumia. Mbilinyi maarufu kama Sugu, alihoji suala hilo bungeni mwishoni mwa wiki wakati akiuliza swali la nyongeza, ambapo alisema kuwa Flava Unit iliyokabidhiwa…

Soma Zaidi...
Ninatishiwa Maisha - Bob Junior Bob Junior aka Mr. Chocolate Fleva aka Rais wa Masharobaro jana mchana aliibuka mjengoni Clouds FM kwenye kipindi cha XXL na kusema kuwa kuna watu watatu wanaomtishia maisha na amewachukulia RB yao. Watu hao aliowataja kwa jina la Diamond aka Rais Wa Wasafi, Shetta pamoja na Meneja wa Shetta anaitwa…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.