Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Pato la Muziki Lapiga Hatua Moja Mbele, 100 Nyuma PATO la taifa linalotokana na sanaa ya muziki Tanzania katika miaka mitatu tangu 2007 hadi mwaka jana linakadiriwa kuwa ni sh bilioni 71 karibu asilimia 0.5 ya jumla ya pato la taifa kutokana na mipangilio mibovu ya ufuatiliaji wa kazi za sekta hiyo na kusababisha mapato hayo kupotea bila mwelekeo.…

Soma Zaidi...
11 Aprili 2011

Ajali Extra Bongo

Ajali Extra Bongo WANAMUZIKI 15 wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo Next Level ‘Wazee wa Kizigo’, alfajiri ya Jumamosi walijeruhiwa vibaya na kulazimika kukimbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya basi walilokuwa wamepanda kugongwa na lori la mizigo aina ya Fuso Magomeni jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mkurugenzi…

Soma Zaidi...
Hitma ya 5 Stars April 17 HITMA ya kuwaombea wanamuziki 13 wa kundi la Five Stars Modern Taarab ambao walipoteza maisha katika ajali ya gari Machi 21 mkoani Morogoro, inatarajiwa kufanyika Aprili 17 kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa kamati ya maandalizi ya hitma hiyo,…

Soma Zaidi...
Chals baba Mwimbaji wa kutumainiwa wa bendi ya African stars maarufu kama wana wa ku-Twanaga na kupepeta, charles Gabriel Cyprian  aka  CHALS BABA amesema hivi sasa anapata wakati mgumu kuimba bila maswaiba zake kalala junior na Khalid chokora.Hata hivyo amesema kuwa kuondoka kwao Twanga kumemfanya ajitume zaidi “kwa kweli sijiski vizuri bila…

Soma Zaidi...
Jide, Kidumu Kimasomaso na Tuzo Zao Lady Jay Dee anatarajia kufanya party maalum ya kujipongeza yeye pamoja na Kidumu, katika mgahawa wake Nyumbani Louge ulipo Namanga. Anasema katika party hiyo pia utakuwa uzinduzi maalum wa siku ya jumapili ambayo atakuwa akipiga show, yeye mwenyewe kwa kupiga nyimbo zake pekee. Kiingilio katika party hiyo ya aina yake…

Soma Zaidi...
08 Aprili 2011

Pipi Kuzuru Nchi 6

Pipi Kuzuru Nchi 6 Mambo, Mwezi wa pili tarehe 29 nilishiriki katika audition ya Organisation moja ya kimataifa inaitwa Umoja Flying Carpet ambayo ilikuwa inatafuta Vocalist, Dancers and Musicians. Watu 15 ndo waliohitajika na nilibahatika kuwa kati ya waimbaji wanne tuliochaguliwa, binafsi naona kama miujiza kwani sikutarajia kwamba nitaanza kuonekana kimataifa mapema hivi kwani…

Soma Zaidi...
Mariam Lukindo na Albamu Mpya Amewaomba mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa albamu yake ya pili ya Ni Asubuhi, itakayowika siku ya Jumapili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee. Si mwingine bali ni yule Mwanamuziki wa miondoko ya kumsifu Mungu Miriam Lukindo, alisema taratibu zote za uzinduzi huo zimekamilika na utaanza kuanzia saa nane…

Soma Zaidi...
Bahati Bukuku na Jeniffer Mgendi Kufyatua Albamu Moja Kwa mara ya kwanza hapa nyumbani tanzania wasanii wa muziki aina ya GOSPEL waamua kuungana na kutoa albamu ya pamoja, wasanii hao wakali kabisa BAHATI BUKUKU  na JENNIFER MGENDI wametoa albamu iitwayo AMEEN GOSPEL  ikiwa ni toleo la kwanza, albamu hiyo haitakuwa na wasani hao wawili tu ila na wengine…

Soma Zaidi...
Twanga Kuwasha Moto Muheza Bendi maarufu kwa muziki wa dansi hapa nchini tanzania na nje ya nchi inatarajia kufanya onyesho kabambe  wilayani Muheza aprili hii ndani ya tarehe 14, Kiongozi huyo wa mda mrefu bi Asha Baraka amesema kuwa onyesho hilo ni maalum na litafanyika katika ukumbi wa WHITEHOUSE na kwamba maandalizi ya onyesho…

Soma Zaidi...
Juni 18 Tamasha la Jahazi TAMASHA la 14 la Nchi za Jahazi, limetoa wito kwa wadau kutuma kazi zao ili kuweza kushiki kwenye warsha zitakazoanza Juni 18-26 visiwani Zanzibar. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Meneja wa ZIFF, Daniel Nyalusi, alisema mwaka huu imedhamiria kuelekeza nguvu zote katika kuhakikisha elimu madhubuti ya utengenezaji wa filamu hapa…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.