Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Mwinjuma 'kimasomaso' ndani ya Vatican City BENDI ya muziki wa dansi nchini ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ Ijumaa ijayo inatarajiwa kufanya onyesho la utambulisho wa wasanii wake wapya waliojiunga na bendi hiyo akiwemo Muumin Mwinjuma ‘Kocha wa Dunia’. Onyesho hilo linatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Vatican City Hotel ulipo Sinza, jijini Dar es Salaam ambapo…

Soma Zaidi...
Haleluya Collection Volume 5 kufyatuliwa Tamasha la Pasaka KILELE cha tamasha la kimataifa la Pasaka litakalofanyika Aprili 24 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam, kitakwenda pamoja na uzinduzi wa albamu mpya ya muziki wa Injili ya Haleluya Collections Vol 5. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, itaizindua albamu…

Soma Zaidi...
Mzee Yusuf Kutua na Albamu ya 6 Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarab almaarufu kama mzee Yusuph wa alamba alamba anatarajia kutambulisha kwa wapenzi wake Albamu mpya itakayo kwenda kwa jina la WAGOMBANAO NDIO WAPATANAO.Mbali na uzinduzi huo pia Bendi hiyo itawatambulisha rasmi waimbaji wapya kabisa wenye vipaji vya hali ya juu, mzee yusuph akizungumza na waandishi wa…

Soma Zaidi...
Tumuombee Mzee Gurumo Mke wa mwanamuziki mkongwe nchini, Muhidin Maalim Gurumo, Pili Gurumo amewataka Watanzania kumuombea mumewe ambaye amelazwa tena katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akikabiliwa na matatizo ya presha ya kushuka.Akizungumza na gazeti la Risasi Jumamosi, juzi (Alhamisi) Muhimbili, Pili alisema kutokana na matatizo ya mumewe anawaomba Watanzania wote, wakiwemo mashabiki…

Soma Zaidi...
Five Star Yaibuka na - Nimeitwa Mbele Yao Wimbo Mpya wa kuwaenzi wasanii 13 wa 5STAR waliofariki kwenye ajali mbaya hivi majuzi tayari umeanza kusikika kwenye redio mbalimbali,wimbo huo uitwao MBELE YAO umetungwa na mpiga kinanda wa siku nyingi bwana THABIT ABDUL na kuimbwa na wasani mbalimbali wa muziki huo wa taarab.Msiba huo mkubwa ambao ulitikisa tasnia ya…

Soma Zaidi...
Msama Aiomba Radhi Shinyanga MWENYEKITI wa kamati ya maandalizi ya tamasha la muziki wa Injili la Pasaka, Alex Msama, amewaomba radhi wapenzi na mashabiki wa muziki huo wa mjini Shinyanga na vitongoji vyake kutokana na tamasha hilo kuhamishiwa jijini Mwanza. Msama alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa amelazimika kuomba radhi kutokana na kupata…

Soma Zaidi...
diamond WASANII wanaofanya vema kwa sasa kutoka familia ya ‘Wasafi’ Diamond ‘Rais wa Wasafi’, Hemed na Shetta wanatarajiwa kutumbuiza katika onyesho lililobatizwa kama ‘Usiku wa Wasafi’ utakaofanyika Aprili 6 kwenye ukumbi wa Club Bilicanas jijini Dar es Salaam. Wakali hao, kwa sasa wako katika mazoezi makali ya kujiandaa na onyesho hilo,…

Soma Zaidi...
01 Aprili 2011

Adam Apoteza Albamu

Adam Apoteza Albamu Rec Lable ya Dim Fatality ambayo iko chini ya usimamizi wa Mexicana Lacavela ambayo imefanya ngoma 7 ambazo ziko hewani na zinabang ambazo ni Kamba 2 Kamba, Nyamu, Sura za Mapene, Up and Down, John John, Amein Ngoma ya mabomu, Dis Lunduno pamoja na Dude jipya la Mansu-li imepoteza mafile…

Soma Zaidi...
01 Aprili 2011

Jay Moe na Malovee

jay Msanii anayeiwakilisha kundi la Wateule Juma Mchopanga aka Jay Moe anatarajia kudondosha single ya wimbo wake mpya inayokwenda kwa jina la MAPENZI MAPENZI. Moe amesema wimbo huo amemshirikisha mwanadada mkongwe katika game hili la bongo fleva Judith Wambura aka Lady Jay Dee. Wimbo huo umetengenezwa pale Tongwe Rec na amewaomba…

Soma Zaidi...
Jay Sikuweza kufika kwenye tuzo za Kili kwakuwa sikupatiwa mwaliko, niliogopa kuzamia. Nadhani walinisahau......... Tehe tehe tehe. Hata mwakilishi wangu yoyote pia hakuwepo ila Shabiki mmoja wapo alinipokelea na kuniletea Nyumbani LoungeLa muhimu zaidi nashukuru sana Watanzania wote mlionipigia kura, sina cha kuwalipa zaidi ya Asante Nashukuru wote mnaoendelea kuamini kuhusu…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.