Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
muzungu Si mwingine bali ni yule mwananmuziki wa kutoka bendi ya muziki ya FM Academia Roger Muzungu, ameamua kujiegemeza kwenye sanaa ya uigizaji mara baada ya kuibuka na filamu mpya ya 'Continuous Love'. Alisema filamu hiyo amecheza na mwigizaji maarufu hapa nchini Yusuph Mlela, ikiwa ni wiki moja sasa tangu iingide…

Soma Zaidi...
afande Jana usiku nyumbani kwa "Mfalme wa vina" nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele', palikuwa hapatoshi baada ya msanii huyo kumuandalia sherehe ya kufa mtu ya kumpongeza msanii mwenzake, Abbas Hamis Kinzasa, maarufu kwa jina la 20% ambaye alifanikiwa kuvunja rekodi ya kutwaa tuzo tano kwa mpigo wakati wa utoaji tuzo za…

Soma Zaidi...
kikwete Huku Rais Jakaya Kikwete akitoa tamko la kuwajibu wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini na kuwataka waache malumbano kuhusu umiliki wa studio na kusisitiza kuwa ametoa vifaa hivyo kwa wale waliomwomba, suala hilo limezua utata zaidi. Tofauti na hotuba yake ya wakati akizindua Bunge la 10 mjini Dodoma mwaka…

Soma Zaidi...
20% Zoezi la utoaji wa Kili Tanzania Music Awards lilipomalizika hapo juzi pale Diamond Jubilee Hall jijini Dar-es-salaam,jina moja lilibakia katika vinywa na bongo za mashabiki wa muziki na wote waliofuatilia tuzo hizo.Jina hilo sio lingine bali la Abbas Hamisi au maarufu kama kwa jina la kisanii la 20%. Kijana huyo…

Soma Zaidi...
29 Machi 2011

Dede Azungumza

dede MACHI 15, mwaka huu, msanii na mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Shaaban Hamad, maarufu kwa jina la ‘Dede’, aliihama bendi ya Sikinde Ngoma ya Ukae, ambayo aliitumikia kwa miaka 20 na kurudi katika bendi ya Msondo Ngoma. Ilikuwa ni vigumu kwa wanamuziki wenzake wa bendi ya Sikinde na…

Soma Zaidi...
rich_one MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya Richard Shauri ‘Rich One’, amesema pamoja na kuwa kimya lakini anaendelea na kazi zake ambapo hivi sasa anapiga mahesabu ya kutafuta kipindi muafaka cha kuiingiza sokoni albamu yake mpya anayoiandaa. Rich One mmoja wa wasanii waliojitoa kutoka TMK Wanaume Halisi na kuanzisha kundi…

Soma Zaidi...
28 Machi 2011

AT Apata Jiko

AT Kambi ya mabachela ndani ya Tzee Music Industry imezidi kumomonyoka. Baada ya siku chache kupita tangu wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marlaw na Besta kuamua kuaga ukapera sasa mwanamuziki kutoka Zanzibar aliyefanya vizuri na ngoma zake kama “Nipigie” na “Mama Ntilie” nae ameamua kuvuta jiko ndani.AT amefunga ndoa na…

Soma Zaidi...
Twenty USIKU wa juzi Jumamosi, unaweza kusema ulikuwa ni ‘Usiku mwaka wa msanii 20%’, kutokana na nyota yake kung’ara vilivyo katika hafla ya hitimisho la kuwatuza wanamuziki waliofanya vema mwaka 2010 Tanzania, maarufu kama Kilimanjaro Music Awards. Msanii huyo alifanikiwa kunyakua tuzo tano pekee yake na kuvunja rekodi kwa wasanii wote…

Soma Zaidi...
Shusho MUIMBAJI wa muziki wa Injili mwenye kipaji cha aina yake awapo jukwaani, Christina Shusho, naye amethibitisha kushiriki katika tamasha kubwa la Pasaka litakalofanyika siku ya sikuu ya Pasaka Aprili 24 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, ambaye…

Soma Zaidi...
Wabunge Ndani ya Tamasha la Uzalendo Wabunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, viongozi wa vyama vya siasa na asasi za kiraia, watahudhuria tamasha kubwa la kuhamasisha uzalendo nchini, linalotarajiwa kufanyika Machi 26, 2011 kwenye Viwanja vya Biafra, Kinondoni, Dar es Salaam.Tamasha hilo linaloandaliwa na Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd kwa

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.