Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
Tuamke, Wakati Ukuta... Washkaji mambo vipi? Ni matumaini yangu makubwa kwamba hali si mbaya na mnaendelea vyema na pilikapilika za kupambana na makali ya maisha au siyo? Kama hivyo ndivyo, basi mtu wangu acha leo nizungumzie kuhusu wale wasanii wa muziki wa Bongo-Flava, ngoma ambazo zilikamua ile mbaya

Soma Zaidi...
Cyril Amtolea Uvivu Sharobaro President Malumbano kati ya Rais wa Masharobaro 'Bob Junior' na msanii Cyrill imechukua nafasi nyingine, baada ya Rais huyo kudai hamfahamu Cyrill. Aliyasema haya siku ya Jumanne alipofanya mazungumzo ya simu katika stesheni ya radio ya Clouds fm Kupitia ukurasa wake wa Facebook mtu mzima Cyrill amempa kubwa Bob Junior

Soma Zaidi...
FM Academia BENDI ya mahiri ya muziki wa dansi nchini, FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ imeanza maandalizi ya albamu yao ya mwaka 2012. Akizungumza kwa njia ya simu jana, Rais wa bendi hiyo, Nyoshi El Sadat alisema, tayari wameishaanza mazoezi ya maandalizi ya albamu hiyo ambayo yanafanyika mara mbili kwa wiki katika…

Soma Zaidi...
Kopa 5 Star Baada ya kupata Taarifa za msiba mzito wa wasani wetu mashuhuri wa 5 STAR uliotokana na ajali mbaya iliyotokea Usiku wa Saa 2 Tarehe 21/02/2011 katika barabara kuu ya Iringa-Morogoro kwenye eneo la Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi na kusababisha vifo vya watu 13 na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya. Habari…

Soma Zaidi...
Sharobaro President vs Rais wa Watanashati Kili Awards Ni mara nyingi hapa nyumbani wasanii wetu hugeukana mapema zaidi ama kwenye makundi au  kwenye mikataiba tofauti na wenzao wa nje, ila mwaka huu KILI AWARDS imetutegeshea kabisa kamchezo ambako walikaanzisha wenyewe wasanii hao sasa sisi wapenzi wao wa mziki tupanganue wenyewe. BOB JUNIOR na DIAMOND ama Naseeb wanawania nafasi moja…

Soma Zaidi...
Maandalizi ya Tuzo Maandalizi kwa ajili ya onyesho la Tuzo za Muziki za Kili yamekamilika ambapo waandaaji wa Tuzo hizo, Kampuni ya Bia Tanzania TBL, kupitia kinywaji chake cha bia ya Kilimanjaro Premium Lager wametangaza wasanii watakaotoa burudani katika onyesho la utoaji wa Tuzo hizo litakalofanyika Jumamosi ya Tarehe 26, Machi 2011 katika…

Soma Zaidi...
5 Star Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya ajali iliyotokea Usiku wa Saa 2 Tarehe 21/02/2011 katika barabara kuu ya Iringa-Morogoro kwenye eneo la Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi na kusababisha vifo vya watu 13 wakiwemo wasanii wa Kundi la Muziki la Five Stars Modern Taarab…

Soma Zaidi...
JK Studio Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Idara ya Utamaduni imesema kwamba studio ya kurekodia muziki (mastering studio) iliyotolewa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete ni ya wasanii waliyoiomba na hao ndiyo waliokabidhiwa. Msimamo huu wa serikali umekuja kufuatia kuwepo kwa mkanganyiko miongoni mwa wadau wa sanaa hususan muziki wa…

Soma Zaidi...
See Records inakuja na Ki Sono Wasanii 22 wamechaguliwa kuunda timu itakayotengeneza Album inayoitwa "KISONO" au "WHO I'M". Baada ya mchakato wa casting uliodumu kwa miezi miwili na kuwachuja wasanii wengi sana waliojitokeza kuwania nafasi hiyo ya kushiriki katika albamu hiyo kabambe. See Records iliyopo mjini Napoli inakutana na wasanii wote siku ya Jumamosi tarehe 26/03/2011. Siku…

Soma Zaidi...
Sikinde Ngoma ya Ukae BENDI kongwe ya muziki wa dansi ya Mlimani Park 'Sikinde Ngoma ya Ukae' imepanga kutumia maonyesho yake ya wiki hii kumtambulisha mwanamuziki wake iliyemrejesha kundini Hussein Jumbe. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jijini Dar es Salama jana Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Sikinde, Jimmy Chika, alisema kuwa wamepanga kumtambulisha…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.