Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
22 Machi 2011

Maafa Five Star

Maafa 5 Star   Kutoka mjini Morogoro tunapata habari kwamba kundi maarufu la muziki wa Taarab, Five Star, limepata ajali mbaya ya gari na watu zaidi ya watano wakiwa wamefariki dunia papo hapo. Waliofariki ni Issa Kijoti, Husna Mapande, Hamisa Mipango, Omary Hashim, Tizo Mgunda, Sheba Juma, Hama Kinyoya, Nasorro Madega, Omary Tall,…

Soma Zaidi...
Masamaa TAMASHA la muziki wa injili litakalofanyika Aprili 24, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee mbele ya Rais Jakaya Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi, limezidi kukaribia. Kukaribio huko kunakwenda sambamba na kamati inayoratibu tamasha hilo ya Msama Promotions chini ya mkurugenzi wake Alex Msama, kuzidi kujipanga kuelekea siku hiyo inayosubiriwa kwa…

Soma Zaidi...
Kilimanjaro Music Awards 2011 IKIWA safari ya kufikia kilele cha utoaji wa tuzo za muziki nchini zikikaribia za Tanzania Music Awards (TMA), kumekuwapo na wimbi la wasanii kadhaa ambao wamekuwa wakitangaza kujitoa katika shindano hilo. Tuzo hizi ambazo zitakuwa zikifanyika kwa mara ya 13 mwaka huu zimekuwa zikiingia dosari ambayo binafsi kama mdau imekuwa…

Soma Zaidi...
Katundu MWIMBAJI na mtunzi mahiri wa wakongwe wa muziki wa dansi hapa nchini, Msondo Ngoma Music, Juma Katundu, ameweka wazi kuwa kifo cha aliyekuwa mke wake, Mwamvita Katundu, kimempa pigo kubwa kimuziki pia. Hadi umauti unamfika Machi 2, mwaka huu, Mwamvita aliyepitia makundi ya ngoma za asili na muziki wa dansi,…

Soma Zaidi...
Kalala na Bendi Mpya Mwanamuziki MKONGWE nchini Hamza Kalala ateuliwa kuwa kiongozi wa bendi mpya iitwayo DOMESTIC TOURISM BAND inayomilikiwa na BODI YA UTALI WA NDANI YA NCHI. Hamza alisema hivi karibuni kuwa ameteuliwa kuwa kiongozi wa bendi hiyo wiki kadha zilizopita na tayari ashaanza kazi ila ameahidi kuwa pamoja na kazi yake hiyo…

Soma Zaidi...
JCB na The Dream Team Watoa "Arusha Vol.2"	 JCB chali wa Arusha hivi karibuni aliwashirikisha wasani wakali wenzake wa nyumbani kama NAKAAYA, GNAKO na JOMAKINI kwenye nyimbo ya ARUSHA , nyimbo yenye kuiongelea jiji hilo kiundani hasa ikiwa hapo tu miezi michache iliyopita kulimwagika damu hali iliyotokana na mchafuko wa kisiasa. Sasa kijana huyo maarufu arusha na sasa…

Soma Zaidi...
Dodoma Kampeni Msani mahiri BUSHOKE  mwenye kumiliki bendi  iitwayo Bongo Tunes iliyokuwa imejiwekea maskani kwakwe pale jijini Dodoma sasa ipo hapa jijini Dar es salaam na itazinduliwa rasmi hivi karibuni. Wahapahapa ikiongea na Bushoke mwenyewe katika fukwe za bahari ya hindi pale coco beach, msani huyo alikiri  kuwa  bendi yake itazinduliwa karibuni…

Soma Zaidi...
Lady Jaydee BENDI kongwe ya muziki wa dansi ya Mlimani Park ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’, imeamua kuwasajili wanenguaji ikiwa ni kuongeza nguvu kwa ajili ya pambano lao na wapinzani wao wakubwa, Msondo Ngoma ‘Mambo Hadharani’. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa…

Soma Zaidi...
Sauti za Busara Tamasha la nane la Sauti za Busara lilifanyika Zanzibar kutoka tarehe 9 – 13 Februari  2011. Tamasha hilo lilianza na maandamano ya ufunguzi yaliyovutia kila mmoja yakipita barabarani mjini Zanzibar, katika maandamano hayo vikiwemo vikundi vya sanaa kama  Beni, watembeaji, wachekeshaji wa kiitalia,wacheza mchezo wa copoeira,  pamoja na wanadada wa kienyeji…

Soma Zaidi...
bhitz Kwa mara nyingine muda umefika wa kuwaenzi wale wasanii mahiri waliofanya vizuri na kupata mafanikio zaidi katika mwaka ulipita. Kama kawaida kuna wasanii walioweza kuingia mara nyingi zaidi, nyimbo zilizoingia mara nyingi zaidi na pia kuna kitu ambacho wananchi wengi wamekua wakikisahau kabisa kwamba kuna studio ambayo imeweza kupata bahati ya…

Soma Zaidi...

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.