Sanaa kipaji cha maisha yangu na mziki ndo jadi yangu nitendee mema au mabaya yote namshuru Mungu,peace and Love kwa jirani zangu.
SILENT KILLER ALWAYS SMILE
Wahapahapa ni daraja la habari zinazohusiana na tasnia ya muziki na uwanja wa filamu zinazojiri katika blogusfia ya Tanzania. Jionee video mbalimbali za wasanii wa muziki wa Tanzania, soma wasifu za wasanii, weka maoni, pandisha picha zako, soma na uchangie habari za soko la filamu za Tanzania, na juu ya yote usiache kusikiliza mchezo wa radio uliotengenezwa kwa kiwango cha juu na kujipatia umaarufu mkubwa, mchezo wa Wahapahapa.
|
|
|