Ashraff Maundi Print
30 Septemba 2010

Mungu kaijalia Tanzania vijana wa kutosha wanaozidi kujaza ladha katika tasnia ya muziki kila panapokucha. Ashraff Maundi hasĀ  a new number kwenye game, na hii hapa ni video yake inayokwenda kwa jina la "Unanidatisha!"

Hakuna sababu ya wasanii wa kibongo kuwa maskini wakati soko la kazi yako liko tayari kuwapokea bila kuuliza kama wametosha ama lah! Ashraff hongera kwa kutupambia ukurasa, wiki njema!