LBT na Preemo Print
28 Septemba 2010

Unaweza ukawa umesikia Bongo Flava kali, siwezi kukukatalia, lakini hebu msikilize LBT na Preemo halafu unipe ripoti. LBT ni Mbongo ambaye yuko Mbelembele (USA) akiwakilisha Bongo Flava wa kwenda mbele. Anakupa kitu "This Game", ni noma!